Ukimya nalo ni jibuFizi...
Huko tulikotoka katika mada hii ilikuwa wachangiaji wakiingia hapa kwa ghadhabu kubwa wakati mwingine wakitukana na kutoa vitisho.
Hii ni kiasi cha kama miaka 10 iliyopita.
Lakini taratibu imewadhihirikia kuwa niandikayo ni kweli.
Hivi sasa somo limeeleweka kwa hiyo wachangiaji wamegeuka kuwa wasomaji wa kimya kimya.
Nina muda mrefu sijawaona Mag 3, Nguruvi na Mwanakijiji hapa ulingoni.
Hawa walikuwa wapinzani wangu wakubwa.
Huyu side anaandika historia inayohusu wenziwe kiimani baaasi,yuko biased kinoma,sisomagi vitabu vya sideKuna vijana naamini wamehamasika kutafiti na kuandika upya historia ya uhuru wa Tanganyika na kwa kweli nawapongeza na nawatakia kila la kheri katika juhudi zao hizi.
Nimesoma makala moja ya Mangi Chief Thomas Marealle kwa bahati mbaya nimekuta kuna baadhi ya mambo mwandishi hakuyafanyaia utafiti wa kina.
Nimemwandikia baadhi ya mambo kama njia ya kumgutua na kumtia moyo:
''...katika hili bandiko la Chief Marealle kuna mambo unahitaji kuyapitia upya ili ipatikane ithibati ya ulichoandika.
Nimebahatika kumsoma Chief Marealle katika Nyaraka za Sykes barua binafsi ambazo akiandikiana na Ally Sykes.
Kwa ajili hii basi nimeweza kufahamu hata kile alichokuwa anakiamini ndani ya nafsi yake katika uongozi wa harakati za kudai uhuru.
Kuna barua moja Chief Marealle alikuwa anamuonya Ally Sykes kumtahadharisha na hali ya baadae baada ya uhuru.
Marealle alifika UNO lakini hakuwa mjumbe aliyetumwa kuwawakilisha Watanganyika.
Kuna jina moja umealiandika la mwanasheria kutoka Bermuda "Earl Seymour," naamini ulimkusudia Earle Seaton.
Earle Seaton pia nimekutananae ndani ya Nyaraka za Sykes akiwa mshauri wa TAA kuhusu "mandate territories."
Earle Seaton ana historia ya kutukuka katika harakati za uhuru wa Tanganyika hasa kwa TAA.
Abdul Sykes katika taatifa yake ya mwaka wa 1950 akiwa Katibu wa TAA kamtaja Seaton kama mtu aliyetoa msaada mkubwa kwa Constitutional Development Committee.
Abdul Sykes, Earle Seaton kama mwanasheria na Japhet Kirilo akiwa kiongozi wa Meru Citizens Union walifanya kazi pamoja kufikisha tatizo la Ardhi ya Wameru UNO 1952 na Kirilo akazungumza UNO Seaton akiwa mkalimani wake.
Yapo mengi.
Hotuba ya Mwalimu Nyerere UNO 1955 inatokana na waraka wa TAA Political Subcommittee ambao ndani ya waraka huu kuna mchango mkubwa wa Seaton.
Waraka huu ulijadiliwa mwaka wa 1954 katika kuasisi TANU na ni mapendekezo yaliyowasilishwa na TAA Political Subcommittee kwa Gavana Edward Francis Twining mwaka wa 1950.
Ningependa kukufahamisha pia kuwa Chief Marealle na Abdul Sykes walikuwa marafiki wakubwa.
Abdul akimtania Marealle akimwita, "King Tom," akimwambia Waingereza wanakataa kumwita yeye King ili asifanane na mfalme wao King George.
Mwaka wa 1951 Chief Marealle alichaguliwa kuwa Rais wa Tanganyika African Government Servant Association (TAGSA) Ally Sykes akiwa Katibu na Rashid Kawawa, Dr. Wilbard Mwanjisi, Michael Lugazia, Steven Mhando wakiwa katika Kamati.
Yapo mengi ningeweza kukueleza lakini nakuomba pitia upya historia ya Chief Marealle.''
View attachment 1245766
Earle Seaton na Julius Nyerere
Duh ajuza FaizaFoxy, nawaona vipofu bado mnaongozana mkilishana matango pori. Hizi ngano za Mohamed Said zimechuja na nyingi ni hadithi alizosimuliwa na wazee wake kibarazani mtaa wa Gerezani akiwa mtoto.
Mag3, Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji, Yericko Nyerere, Pascal Mayalla na juzi tu Ndinani.
Wote hao wana ahadi walizoahidi. Sasa ukishusha nondo namna hizi wanaona haya kutia lao, wataonekana, kwani ahadi ni deni. Lakini kwa uhakika wanakusoma.
Hawana njia bali wakubali tu kuwa wameshindwa kutimiza ahadi zao na wajitokeze tu. Japo wakupongeze tu panapostahili.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
"Wameingia mitini".
Sheriff,Ingekuwa vema ungeandika kitabu mkuu
Mkuu Maalim Mohammed Said, kwanza asante kwa mchango huu, wewe humu umekuwa ni iconic kwa baadhi yetu, mimi nikiwemo, kila bandiko unalobandika, najikuta navutwa kama sumaku na lazima nilisome, hivyo nakuomba uendelee kutupatia hayo mengi yoyote unayoweza kutupa, ni siishia humu tuu kwenye mabandiko yako ya jf, mara moja moja hukutembelea kule kwako www.mohammedsaid.com, sijui siku hizi kumeingiliwa na kirusi gani.Yapo mengi ningeweza kukueleza lakini ...
Mkuu Waterloo, jf ni zaidi ya darasa, zaidi ya shule, zaidi ya chuo, ni maktaba hai, na Maalim Mohammed Sais ni zaidi ya mwalimu, zaidi ya lecture, zaidi ya Prof, na hapa ndipo tunapoonyeshwa kuna ma prof wa Ph.D and they deliver nothing!, na kuna watu, hawana hata Masters, na wana deliver wonders.Ahsante sanaa kaka kwa kunifundisha historia hii nimejifunza mambo ambayo sikuwahi kuyasoma darasani.
Nguruvi 3,Ukimya nalo ni jibu
Mag 3,Duh ajuza FaizaFoxy, nawaona vipofu bado mnaongozana mkilishana matango pori. Hizi ngano za Mohamed Said zimechuja na nyingi ni hadithi alizosimuliwa na wazee wake kibarazani mtaa wa Gerezani akiwa mtoto.
Hadithi, hadithi! Kaondokea chenjagaa, kajenga nyumba kakaa, mwanangu mwana siti, kijino kama chikichi, cha kujengea kikuta na milango ya kupita! Hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea!
Kama unaoga mtoni akatokea chizi akakwapua nguo zako na kutimua mbio una mawili...ama umkimbize au ujisetiri. Mimi nimechagua kutomkimbiza chizi, vipi nyie wenzangu?
Sheriff,
Ushasoma kitabu hicho hapo chini?:View attachment 1247593
Kitabu hiki kinapatikana bookshop gani?Sheriff,
Ushasoma kitabu hicho hapo chini?:View attachment 1247593
P,Mkuu Maalim Mohammed Said, kwanza asante kwa mchango huu, wewe humu umekuwa ni iconic kwa baadhi yetu, mimi nikiwemo, kila bandiko unalobandika, najikuta navutwa kama sumaku na lazima nilisome, hivyo nakuomba uendelee kutupatia hayo mengi yoyote unayoweza kutupa, ni siishia humu tuu kwenye mabandiko yako ya jf, mara moja moja hukutembelea kule kwako www.mohammedsaid.com, sijui siku hizi kumeingiliwa na kirusi gani.
Moja ya sifa ya viumbe hao wote, sio static, ni dynamic, and hence they change with time, hata wewe. as times goes by, unajikuta una change with time, kwa siku hizi kutuletea mabandiko ya ukweli mtupu, na sio mabandiko yenye urongo kama urongo niliouibua hapa.
Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!
Wanabodi, mimi ni mshabiki na mfuasi wa simulizi za mwana Jf maarufu, mwenye powers fulani za ushawishi, Mkuu Maalim Mohamad said, nyingi ya simulizi zake zina some religious controversies zinazoibua very heated debates humu jukwaani, kwa baadhi ya watu kumsupport asemacho ni kweli, na wengine...www.jamiiforums.com
Hivyo kwenye historia ya ukweli, tuko pamoja sana, ila kwenye maurongo, kama ukweli tunaujua, hatutanyamaza.
Hilo andiko la Mangi Mkuu, Chief Thomas Marealle, sijabahatika kulisoma, ila kuna taarifa ambazo hazina uthibitisho kuwa Mangi Mkuu aliwaambia Wakoloni wetu Waingereza kuwa Tanganyika bado haijawa tayari kujitawala, ila North Province ndio wako tayari, hivyo kuwaomba watoe uhuru kwa mafungu, North Province ndio ipewe uhuru kwanza. Taarifa hii ilipomfikia Nyerere, ali curse kuwa never on earth mtu wa huko anaweza kuwa rais wa JMT!, japo hizi ni hearsay tuu, lakini political trends, na political dynamics za siasa zetu, zina onyesha ni kweli kuna makabila fulani fulani hayatakiwa kutoa rais wa JMT, na ni kweli sasa kuna chuki fulani ya kichini chini dhidi ya makabila fulani fulani!, huwezi amini kuna mtu fulani who was high ranking member wa utawala uliopita yuko mahabusu huu ni mwaka wa 4!.
Ni kweli kuna makabila yasiyotakiwa kutoa rais wa nchi?
Nimetembea duniani kwenye nchi za kidemokrasia lakini sijawahi kusikia eti makabila flani hayatakiwi kutoa rais wa nchi.Only in Tanzania!Is it true?And if so,why?Ni kivipi tutazuia?je hilo halituathiri kama Taifa?www.jamiiforums.com
Na sasa pia tuna makabila ambayo yanafaa sana kutoa rais
P.
Yericko,View attachment 1247610
Katika kitabu cha Ujasusi nimeeleza kwa usahihi historia ya Tanganyika kuanzia mwanzoni mwa 1927 enzi za kuundwa kwa AA, TAA, TANU na CCM, Nimefanya hivyo kama sehemu ya kujibu upotoshaji wa mzee wangu mwanahistoria nguli anayeudanganya umma kwa miaka mingi kuwa uislamu ndio ulileta uhuru wa Tanganyika.
Upatapo muda kisome hata kama unakereka na mwandishi wake..... Soma kisha njoo tujadili ewe bibi yangu mkuuView attachment 1247610
Mafuta...Kitabu hiki kinapatikana bookshop gani?
Usisome review, soma kitu original..... Reviews zinakuja baada ya kusoma kitu halisiYericko,
Nifahamishe ikiwa kitabu chetu hiki kimefanyiwa ''review'' ningependa kusoma.
Mkuu Maalim Mohammed Said, hatuna haja ya kuliharibu bandiko hili zuri la Mangi Mkuu, Chief Thomas Marealle, kwa kukumbushia yale maurongo yako ya siku za nyuma kwa sababu threads za maurongo hayo zipo.P,
''Maurongo,'' ni yapi?
Weka hapa kwa faida ya wasomaji nikujibu kwa ushahidi.
Nadhani hizi zikiwa compiled pamoja, it's more than a Ph.D thesis, kama imeshindikana kabisa kupewa an academic Ph.D, umepewe hata doctorate ya heshima tuu kama Dr. Jakaya, ila sisi hapa jf kwa vile hatufungamani na yeyote, nitatoa motion kwa Invincible tukupe udakitari wa heshima kutoka hiki Chuo Kikuu cha JF.Mag 3,
Labda huenda umenisahau:
- PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
- The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
- The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
- Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
- Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
- Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
- Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2019 Dar es Salaam.
- In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
- Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
- Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
- The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
- Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
- The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
- Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
- Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
- Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
- Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
- Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
- 14. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
- Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
- Awards: Several Awards
- Visiting Scholar: (2011)
- University of Iowa, Iowa City, USA
- Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
- Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
- OTHER COUNTRIES VISITED
- Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
Gita...Huyu side anaandika historia inayohusu wenziwe kiimani baaasi,yuko biased kinoma,sisomagi vitabu vya side