Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unafanya hiyo kazi under ccm instructions kwahiyo watu wenye akili hawawezi kuwa kwenye vipindi vyako ; kwani watawaumbua na propaganda zenu!! Hao wakina Lipumba, Cheyo na Wasira hao wote ni waganga njaa ; wapo hapo kwa maslahi yao binafsi na sio maslahi mapana ya wananchi!Nitawatafuta in due time!.
P
Msimpeleke Mdude peke yake na Chalamila nae mumpeleke!Kwanini usiende polisi kutoa taarifa,maana uvutaji bangi ni kosa kisheria.Hiyo itakua njia nzuri ya kumsaidia Mdude na wanajamii wengine,au polisi wenyewe wangekuita,ili uwasaidie katika kutoa ushahidi mahakamani.Fanya hivyo mkuu.
Tanzania ilikuwa inatoa Wanasheria wazuri sana ukanda wa EA. Kwasasa sijui Majaji wanapatikanajeNaunga mkono hoja, kiukweli tuna tatizo kubwa sana na wanasheria majanga kwenye mihimili yote, serikali inatunga muswada wa sheria batili, Bunge linaitunga kuwa sheria. Mahakama inashindwa kutafsiri katiba!, kati ya wanasheria majanga wote, madhara kakubwa ni majaji!, Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
P
Upatikanaji wa majaji ni mchakato mzuri tuu, tatizo ni hakuna kipimo cha amplitude test kupima uwezo wa majaji kubaini haki.Tanzania ilikuwa inatoa Wanasheria wazuri sana ukanda wa EA. Kwasasa sijui Majaji wanapatikanaje
The truth hapa kulikuwa hakuna kesi kabisa kama Chadema wangetimiza wajibu wao kikamilifu.Hii kesi ina 'effect' mbele ya safari kwa upekee wake. Haikuwa kubwa kihivyo, Hakim Mkazi Kisutu angeimaliza.
Kutokana na Figisu Mahakama kuu ikaingia na matokeo ni kujipaka matope.
Ni kweli Mahakama imeboronga big time.Imekuzwa kwasasa ni 'landmark' . Maamuzi kama alivyoanisha JokaKuu utagundua Mahakama imeboronga.
Sio vyama vya siasa kuangalia katiba zao, ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kufanya mapitio ya katiba za vyama ziendane na katiba ya JMT.Kwavile ni 'landmark' vyama vya siasa vinapaswa kuangalia katiba zao ili asije mtu kutumia hukumu dhidi yao.
trueHilo ni kinyume na misingi ya uendeshaji wa vyama. Hatuwezi kuwa na mfumo mmoja unaoratibu Katiba za vyama.
Si kazi ya Jaji kueleza Katiba za vyama ziweje, ni kazi ya Jaji kutafsiri Katiba hizo kwa mujibu wa sheria.
trueUwepo wa Wajumbe wa CC ya Chadema hata kama ulikuwa na influence katika maamuzi, Katiba haikukiukwa.
trueLakini pia ' Professional judgement' ipo wapi.
Tayari alisharidhia CC ilitenda haki, je, Wajumbe wa CC katika baraza kuu waliathiri kura kivipi?
Na ikiwa Chadema itaitisha Baraza kuu na kuondoa Wajumbe wa CC hilo litabadili vipi matokeo?
Kwa hapa I reserve my comments for conflict of interest.Tuna tatizo kubwa katika mhimili wa sheria, Majaji wetu ni 'sub standard' . Pengine tunahitaji uongozi mpya, ule wa akina Nyalali, Samatta, Nassoro Mzavas, Kisanga, Lugakingira na watu kama akina Murtaza , Manning na Longway! n.k.
Sijui Mahakama inahitaji 'revamp au overhaul' sijui! ninachojua ipo compromised
Freedom to think, ndio the only absolute freedom, hivyo naomba niheshimu freedom yako hiyo kuwa mimi Pasco Mayalla nafanya kazi under CCM instructions.Wewe unafanya hiyo kazi under ccm instructions
I keep this in mind and proves you otherwise in due time.kwahiyo watu wenye akili hawawezi kuwa kwenye vipindi vyako
Kipindi changu sio Kipindi cha propagandakwani watawaumbua na propaganda zenu!!
Naomba niheshimu opinion yako.Hao wakina Lipumba, Cheyo na Wasira hao wote ni waganga njaa ; wapo hapo kwa maslahi yao binafsi na sio maslahi mapana ya wananchi!
Kipindi changu kinaendeshwa kwa haki, nikiita viongozi wa vyama, status ya mwenyekiti wa CCM is the same na mwenyekiti wa Chadema, CUF, NCCR, Tadea etc. Sibagui.Watanzania tunajuana ktk suala la Katiba Mpya, na Tume Huru ya Uchaguzi.
..Ungeniambia unataka kuwe na balance ktk maoni ya wageni unaowahoji ningekuelewa.
..Sio sahihi kutufanya wasomaji wako wajinga kwa kudai hujui mitizamo ya wageni unaotarajia kuwaalika.
Naomba niheshimu opinion yako on me.Wakati mwingine unajidhalilisha Pascal Mayalla kwa mambo unayoandika. Hata kama unatafuta maokoto usifanye kwa kuzidisha na kujidhalilisha.
Wanabodi
Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee
Jumapili hii, manguli wa Siasa hapa nchini, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa", Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira, Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, Dorothy Semu wa ACT Wazalendo, Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah, na Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian, kuunguruma kwenye Vox Pop, ya kipindi cha KMT cha leo on Channel Ten, kuzungumzia mustakabali wa siasa zetu kuelekea 2025
View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_
View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V
View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn
View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh
View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z
View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX
View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU
Usikose!.
Paskali