Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Hii ni kumaanisha kwamba, jamaa atagombea tena.
Hongera sana genius Mangungu, tunakutegemea.
Hongera sana genius Mangungu, tunakutegemea.
ahahaha 😂 😂 😂Yeyote atayeshindana na magungu tutamnyosha
na pesa za kampeni tutamchangiaMangungu m5 tena
Ni balaa.Hawa CCM sijui wana roho za kishetani namna gani, imagine huyu bado anafirikia kugombea
Its high time apishe mwingine!Hii ni kumaanisha kwamba, jamaa atagombea tena.
Hongera sana genius Mangungu, tunakutegemea.
Mwambie this time tunaingia ukumbini tumempakia vumbi la Congo.Hii ni kumaanisha kwamba, jamaa atagombea tena.
Hongera sana genius Mangungu, tunakutegemea.
Last time si mliinvia na mkala wali wake au?Mwambie this time tunaingia ukumbini tumempakia vumbi la Congo.