Mangungu atoa kauli sakata la Try Again kumteua MO kuwa Mwenyekiti Bodi ya Simba

Mangungu atoa kauli sakata la Try Again kumteua MO kuwa Mwenyekiti Bodi ya Simba

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi, Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti Tuheshimu katiba.

© MANGUNGU 🙌

Yanga inacho cha kujitetea kipindi cha Mwinyi Zahera ilikua njaa ama ukata wa fedha.
Ila kaka Simba ina pesa ina uchumi sawia na Yanga ya sasa wao wanakwama wapi!?
Kupanda au kushuka sio lazima iwe khs pesa tuu, ht viwango vya wachezaji
 
Yanga inacho cha kujitetea kipindi cha Mwinyi Zahera ilikua njaa ama ukata wa fedha.
Ila kaka Simba ina pesa ina uchumi sawia na Yanga ya sasa wao wanakwama wapi!?
Simba Ina uchumi mkubwa zaidi kuliko yanga ya Sasa na hizi ni takwimu pengine hii ndio imeleta changamoto watu wanataka Kila siku boss amwage hela wao waweke tumboni
 
Hicho kizee kisitambe na 51% kinasahau katika hizo 51 kuna 20 za waanzilishi ambazo ni untouchable, so kiuhalisia wanachama wana 31 na mudi ana 49 ambapo kwenye maamuzi anakuwa na nguvu zaidi yao, sema hili jambo haliwekwi wazi tu.
 
Back
Top Bottom