Mangungu atoa kauli sakata la Try Again kumteua MO kuwa Mwenyekiti Bodi ya Simba

Mangungu atoa kauli sakata la Try Again kumteua MO kuwa Mwenyekiti Bodi ya Simba

Nimemsikiliza Mangungu mda huu anahojiwa Clouds, itoshe kusema huyu mzee anamuogopa Mo. Hakuna swali alilohojiwa akajibu moja kwa moja
 
Hicho kizee kisitambe na 51% kinasahau katika hizo 51 kuna 20 za waanzilishi ambazo ni untouchable, so kiuhalisia wanachama wana 31 na mudi ana 49 ambapo kwenye maamuzi anakuwa na nguvu zaidi yao, sema hili jambo haliwekwi wazi tu.
Acheni utapeli nyie machawa wa Mo
 
Hivi hao wenye 51% wanatoa kiasi cha pesa kwenye kuendesha timu na usajiri?
 
Kupanda na kushuka ni jambo la kawaida kwenye taasisi, hata Yanga walipitia haya na mabakuli yao
Tusikubali Tena kuchqngishana.Ni Bora tuchangie ujenzi wa matundu ya vyoo na madawati watoto wetu wasikae chini kuliko kuchangia hizo timu ambazo sehemu kubwa ya fedha inaliwa na waganga wa kienyeji.
 
Back
Top Bottom