Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hizi ni shida za kujitakiaKupanda na kushuka ni jambo la kawaida kwenye taasisi, hata Yanga walipitia haya na mabakuli yao
Yanga inacho cha kujitetea kipindi cha Mwinyi Zahera ilikua njaa ama ukata wa fedha.Kupanda na kushuka ni jambo la kawaida kwenye taasisi, hata Yanga walipitia haya na mabakuli yao
Mbona Manji muhindi na alikua msaada kwa Yanga!?Pambaneni na mhindi wenu.tukisema wahindi hawana misaada hamsikii,mtajijua.kigwa aliishawaonya hamuelewi
Kinachomfanya ajiamini ni kuwa anaijua Katiba ya Simba in and out kuliko huyo Gabachori.Sema huyo mzee miyeyusho sana.
Wameshasema wasemaji huyu NI Yanga kaja kuvuruga Simba, tangu kaingia NI vurugu tupuSema huyo mzee miyeyusho sana.
Kupanda au kushuka sio lazima iwe khs pesa tuu, ht viwango vya wachezajiYanga inacho cha kujitetea kipindi cha Mwinyi Zahera ilikua njaa ama ukata wa fedha.
Ila kaka Simba ina pesa ina uchumi sawia na Yanga ya sasa wao wanakwama wapi!?
Tajiri karudi, huku mangungo nae katoa tamko, hii vita ya ponjoro na mangungo tunaoumia ni sisi wanachama.Kinachomfanya ajiamini ni kuwa anaijua Katiba ya Simba in and out kuliko huyo Gabachori.
Ngungus Boy tupo na wewe mwanzo mwenga.
Simba Ina uchumi mkubwa zaidi kuliko yanga ya Sasa na hizi ni takwimu pengine hii ndio imeleta changamoto watu wanataka Kila siku boss amwage hela wao waweke tumboniYanga inacho cha kujitetea kipindi cha Mwinyi Zahera ilikua njaa ama ukata wa fedha.
Ila kaka Simba ina pesa ina uchumi sawia na Yanga ya sasa wao wanakwama wapi!?