Simpendi Mangungu lakini Kwa hili Yuko sahihi. Haiwezekani Mo alipojiuzulu akamteua Try Again, halafu Jana Try Again anajiuzulu anamteua tena Mo. Yaani ni kama mchezo wa Urais na uwaziri Mkuu wa Rusia!!!?Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi,Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti Tuheshimu katiba.
© MANGUNGU 🙌
Mangungu kama mke mdogo tangu aingie HAPAKIKI HAPALIKIWameshasema wasemaji huyu NI Yanga kaja kuvuruga Simba, tangu kaingia NI vurugu tupu
Mwanzoni nilikuwa nadhani wanamsingizia ila sasa kadhihirisha wazi kuwa ana kazi maalumu pale Simba. Washabiki, wapenzi na wanachama wa Simba jiandaeni kwa msimu mwingine wa kulia na kusaga meno. Kama kweli huyu mzee angekuwa Simba damu damu zile goli tano jumlisha kushika nafasi ya tatu zingekuwa sababu tosha za yeye kujiuzulu na kupisha wengine waongoze na sio kujibu kifedhulfedhuli namna hiyo.Wameshasema wasemaji huyu NI Yanga kaja kuvuruga Simba, tangu kaingia NI vurugu tupu
Hivi Simba yaani hamjui kuwa tatizo lenu ni MoMwanzoni nilikuwa nadhani wanamsingizia ila sasa kadhihirisha wazi kuwa ana kazi maalumu pale Simba. Washabiki, wapenzi na wanachama wa Simba jiandaeni kwa msimu mwingine wa kulia na kusaga meno. Kama kweli huyu mzee angekuwa Simba damu damu zile goli tano jumlisha kushika nafasi ya tatu zingekuwa sababu tosha za yeye kujiuzulu na kupisha wengine waongoze na sio kujibu kifedhulfedhuli namna hiyo.
Huyu mtu hana aibu kabisa na sijui hana mke, majirani, marafiki au watoto au zaidi hata wakwe zake wa kumshauri aachane na Simba afakafanye shughuli zake kama anazo kuliko kung'ang'ania huo uongozi ambao watu kibao wameshampinga. Hivi na ile kamati ya wakina Zungu na Tulia kule bungeni Dodoma kwa nini isitume ujumbe kwake aachie ngazi kwa maslahi mapana ya Simba?
Kama anataka kuongoza mpira si lazima ang'ang'anie Simba si aende akaifufue Pan Africa. Si anasema anazo pesa za usajili si akasajili wachezaji Pan Africa ili wapande daraja? Kwa nini anang'ang'ania asajili wachezaji hapo Simba bado hajaridhika tu na magarasa waliyoyaleta anataka aengezee mengine?
Mlipumbazwa na mafanikio mkasahau Mchakato uliowafikisha hapo, laiti mngesimia ule mchakoto wa uendeshaji club msingefika hapo, na ujinga anaokosea Mo ni kutaka kuiflience kuwa yeye ndiyo mwenye simba na anamamlaka wakati kwa mchakato ambao simba wamefika Mangungu ndiyo Boss, kumisolate utawaletea matatizo makubwa.Mangungu hana weledi wa kazi ajiuzuli tu , simba chini ya mo inakua salama zaidi kimpira ushahidi tunao.
Kosa la Mangunga hapo ni nini?Mwanzoni nilikuwa nadhani wanamsingizia ila sasa kadhihirisha wazi kuwa ana kazi maalumu pale Simba. Washabiki, wapenzi na wanachama wa Simba jiandaeni kwa msimu mwingine wa kulia na kusaga meno. Kama kweli huyu mzee angekuwa Simba damu damu zile goli tano jumlisha kushika nafasi ya tatu zingekuwa sababu tosha za yeye kujiuzulu na kupisha wengine waongoze na sio kujibu kifedhulfedhuli namna hiyo.
Huyu mtu hana aibu kabisa na sijui hana mke, majirani, marafiki au watoto au zaidi hata wakwe zake wa kumshauri aachane na Simba afakafanye shughuli zake kama anazo kuliko kung'ang'ania huo uongozi ambao watu kibao wameshampinga. Hivi na ile kamati ya wakina Zungu na Tulia kule bungeni Dodoma kwa nini isitume ujumbe kwake aachie ngazi kwa maslahi mapana ya Simba?
Kama anataka kuongoza mpira si lazima ang'ang'anie Simba si aende akaifufue Pan Africa. Si anasema anazo pesa za usajili si akasajili wachezaji Pan Africa ili wapande daraja? Kwa nini anang'ang'ania asajili wachezaji hapo Simba bado hajaridhika tu na magarasa waliyoyaleta anataka aengezee mengine?
Wewe ni wana uto Kafie mbali😁😁Mlipumbazwa na mafanikio mkasahau Mchakato uliowafikisha hapo, laiti mngesimia ile chako wa uendeshaji club maingefikia hapo, na ujinga anao kosea Mo ni kutaka kuiflience kuwa yeye ndiyo mwenye simba na anamamlaka wakati kwa mchakato ambao simba wamefika Mangungu ndiyo Boss, kuisolate utawaletea matatizo makubwa.
Mo anachotakiwa kufanya ni kushirikiana na Mangungu na waliopo kwenye bodi upande wa wanachama
HamasYanga inacho cha kujitetea kipindi cha Mwinyi Zahera ilikua njaa ama ukata wa fedha.
Ila kaka Simba ina pesa ina uchumi sawia na Yanga ya sasa wao wanakwama wapi!?
Ujinga ndiyo huo sasa, mnataka kufika mbinguni halafu hamtaki kufa, Bata waheadWewe ni wana uto Kafie mbali😁😁
Yanga hawajawahi kupandikizwa pandikizi kama tulivyofanyiwa Simba.Kupanda na kushuka ni jambo la kawaida kwenye taasisi, hata Yanga walipitia haya na mabakuli yao
Kwa akili zako timamu,hii ni sawa?Mwanzoni nilikuwa nadhani wanamsingizia ila sasa kadhihirisha wazi kuwa ana kazi maalumu pale Simba. Washabiki, wapenzi na wanachama wa Simba jiandaeni kwa msimu mwingine wa kulia na kusaga meno. Kama kweli huyu mzee angekuwa Simba damu damu zile goli tano jumlisha kushika nafasi ya tatu zingekuwa sababu tosha za yeye kujiuzulu na kupisha wengine waongoze na sio kujibu kifedhulfedhuli namna hiyo.
Huyu mtu hana aibu kabisa na sijui hana mke, majirani, marafiki au watoto au zaidi hata wakwe zake wa kumshauri aachane na Simba afakafanye shughuli zake kama anazo kuliko kung'ang'ania huo uongozi ambao watu kibao wameshampinga. Hivi na ile kamati ya wakina Zungu na Tulia kule bungeni Dodoma kwa nini isitume ujumbe kwake aachie ngazi kwa maslahi mapana ya Simba?
Kama anataka kuongoza mpira si lazima ang'ang'anie Simba si aende akaifufue Pan Africa. Si anasema anazo pesa za usajili si akasajili wachezaji Pan Africa ili wapande daraja? Kwa nini anang'ang'ania asajili wachezaji hapo Simba bado hajaridhika tu na magarasa waliyoyaleta anataka aengezee mengine?
Point yangu n kwamba club Hua zinapita kwenye changamoto mbalimbali, hayo mambo ya kuna pandikizi Mm cyajuiYanga hawajawahi kupandikizwa pandikizi kama tulivyofanyiwa Simba.
Huyu mzee ni pandikizi la utopolo na wanaowezesha hili wapo na hela wasizo na uchungu nazo
Wanaosema ni pandikizi ni maneno ya kishabiki tu,,pandikizi vipi wakati amechaguliwa kwa kupigiwa kura na wanachama..Point yangu n kwamba club Hua zinapita kwenye changamoto mbalimbali, hayo mambo ya kuna pandikizi Mm cyajui