Mangungu: Basi la Timu limeuzwa, haliko kwenye matengenezo kama ilivyotajwa awali

Mangungu: Basi la Timu limeuzwa, haliko kwenye matengenezo kama ilivyotajwa awali

Kwani basi likiuzwa haliwezi kununuliwa jingine?

Utopolo mna shida sana..
 
Usitoke nje ya mada, bus la Simba lipo wapi? Onesha lilipo au kubaliana na Mangungu kuwa bus limeuzwa
Mbona umeleta picha ya basi lililouzwa au umemka na vigari gari vya wanzuki unataka usumbue watu humu?
 
Hilo basi analosema limeuzwa ni lipi? Lililouzwa kabla hajaingia madarakani tunalijua liliuzwa Mtwara. Hili la Africarriers tuliloambiwa na Ahmed Ally nalo limeizwa?
Hilo mnapewa tu Kwa ajili ya huduma lkn kuuhalisia si la kwetu
 
Simba ilkua na mabasi manne yanayotambulika costar yutong tata na dragon apa nahisi lilouzwa ni yutong sema haya mengine ndo atuyaoni tata na dragon
 
Hii nchi inakosa kabisa watu wa fikra pevu Kwa sasa, taarifa ni ya January 20 mwaka 2022 lakini imeunganishwa na kampeni za January 2023, hapa Kuna walakini kuanzia kwenye chanzo cha habari.

Pia; mbona kama basi linaloongelewa ni lile la sportpesa ambalo liliuzwa zamani tu tena watu walibid kihalali kabisa ndo maana hata taarifa inamnukuu mangungu akisema liliuzwa kihalali na wakati huo hakuwa madarakani, yaani zamani sana.

Mwisho
Watanzania tujifunze kufikiria na kutafakari Kwa kina kuhusu hii taarifa njaa maana tunajianika weupe wetu vichwani
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom