Africarriers Group,Gereji ipi? Itaje
Leta picha likiwa gerejiAfricarriers Group,
Box 5998, Dar es Salaam Tanzania, Pugu Road, Plot No.17 Vingunguti
Sasa mnaposema yale mapya? Uto wote hamna akiliDuuuh kumbe bus wamejiuzia wenyewe hao viongozi wa Simba [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ona hili hapa nimelipata [emoji116]View attachment 2489410View attachment 2489411
Nenda hapo vingunguti utayakutaLeta picha likiwa gereji
Wewe ndio unatakiwa ulete iyo kudhibitisha madai yako kuwa yapo gereji ya AfricarriersNenda hapo vingunguti utayakuta
Teh teh teh.😂😂😂... nyie jamaa mna maneno kweli kweliWewe inakuhusu nini kwani ulitoa hata shilingi yako?
Umeomba kunya nimekuonyesha choo unataka nikuchambishe pia?Wewe ndio unatakiwa ulete iyo kudhibitisha madai yako kuwa yapo gereji ya Africarriers
Usitoke nje ya mada, bus la Simba lipo wapi? Onesha lilipo au kubaliana na Mangungu kuwa bus limeuzwaUmeomba kunya nimekuonyesha choo unataka nikuchambishe pia?
Mbona umeleta picha ya basi lililouzwa au umemka na vigari gari vya wanzuki unataka usumbue watu humu?Usitoke nje ya mada, bus la Simba lipo wapi? Onesha lilipo au kubaliana na Mangungu kuwa bus limeuzwa
Oya bus la Simba ameuziwa Mangungu?Mbona umeleta picha ya basi lililouzwa au umemka na vigari gari vya wanzuki unataka usumbue watu humu?
Shida zakoOya bus la Simba ameuziwa Mangungu?
Hilo mnapewa tu Kwa ajili ya huduma lkn kuuhalisia si la kwetuHilo basi analosema limeuzwa ni lipi? Lililouzwa kabla hajaingia madarakani tunalijua liliuzwa Mtwara. Hili la Africarriers tuliloambiwa na Ahmed Ally nalo limeizwa?
Hela mmefanyia nini?tumefuatilia na kubaini kuwa limeuzwa kwa kufuata taratibu
Wewe inakuhusu nini kwani ulitoa hata shilingi yako?
Yapo garage mwezi wa 3 sasaYapo wapi?? Tuoneshe yalipo