Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kiazi kweli huyu, washiriki ligi ya bao ndio haina kuumizana."Kuna kampeni inafanywa kuumiza wachezaji wetu wa Simba ili Simba isicheze vizuri kama walivyomuumiza Moses Phiri"
[emoji2399] Murtaza Mangungu
Mwenyekiti wa klabu ya Simba.
Skudu alivyoumia si walifurahia hawa?, Na Inonga Alivyokuwa Anafanya sifa kuwachezea vibaya wenzie si walikuwa wanafurahia pia, ngoja yani mpk wasemee..."Kuna kampeni inafanywa kuumiza wachezaji wetu wa Simba ili Simba isicheze vizuri kama walivyomuumiza Moses Phiri"
[emoji2399] Murtaza Mangungu
Mwenyekiti wa klabu ya Simba.
"Kuna kampeni inafanywa kuumiza wachezaji wetu wa Simba ili Simba isicheze vizuri kama walivyomuumiza Moses Phiri"
[emoji2399] Murtaza Mangungu
Mwenyekiti wa klabu ya Simba.
Kwanini anasema hivyo?Kiazi kweli huyu, washiriki ligi ya bao ndio haina kuumizana.
Akaangwe kiepe yai ili atafunweKama kweli huyu Mzee Mangungu katoa hiyo kauli basi atakua kiazi mbatata kabisa [emoji706][emoji706]
Kwa hiyo SCUDU naye yupo Simba? Yule aliyeumizwa na Inonga naye yupo Simba?
MBUMBUMBU FC mnalalama mno
Basi tuite sisi Chifu, si tulikubaliana Mashabiki wa Simba ni Watani wa Mashabiki wa Yanga "Utopolo"?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16] yote yetu mkuu tusamehe basi
Kwahiyo Inonga ndo ana mchango kwa Yanga?Scudo ana mchango gani Yanga? Hata match 5 hajacheza. Tofauti na inonga. Pia inonga ni Mara nyingi
Hakuna aliyefurahia kuumia kwa skudu,Skudu alivyoumia si walifurahia hawa?, Na Inonga Alivyokuwa Anafanya sifa kuwachezea vibaya wenzie si walikuwa wanafurahia pia, ngoja yani mpk wasemee...