Mangungu: Kuna kampeni ya kuumiza wachezaji wetu.

Mangungu: Kuna kampeni ya kuumiza wachezaji wetu.

"Kuna kampeni inafanywa kuumiza wachezaji wetu wa Simba ili Simba isicheze vizuri kama walivyomuumiza Moses Phiri"

[emoji2399] Murtaza Mangungu

Mwenyekiti wa klabu ya Simba.
Skudu alivyoumia si walifurahia hawa?, Na Inonga Alivyokuwa Anafanya sifa kuwachezea vibaya wenzie si walikuwa wanafurahia pia, ngoja yani mpk wasemee...
 
"Kuna kampeni inafanywa kuumiza wachezaji wetu wa Simba ili Simba isicheze vizuri kama walivyomuumiza Moses Phiri"

[emoji2399] Murtaza Mangungu

Mwenyekiti wa klabu ya Simba.
Kiazi kweli huyu, washiriki ligi ya bao ndio haina kuumizana.
Kwanini anasema hivyo?
Screenshot_20230922-152223_Facebook.jpg

Ila TFF inabidi wawasikilize Simba. Maana wanaweza wakafanya maamuzi magumu ya kuhama ligi.

 
Kwa nchi za wenzetu huyu alikua anabanwa alete ushahidi kama hana ushahidi bida lifeban kwenye mpira na yanga ile faulo ya Joyce lomalisa tusemaje mpira ni mchezo wa kugusana kama simba hawataki kuguswa waende ligi ya Somalia #Tff huyu jamaa abanwe atoe ushahidi hawa ndio wanafanya ligi yetu ionekane kama ndondo.
Angekutana na Stoke ya kina Ryan Shawcross au Charlie Adam huyu.
Mzee Rage naona kuna watu wanakuenzi huku ile kauli yako iatendelea kuishi sana mzee
 
Kama anaona wachezaji wake wanaumizwa kwenye mpira wa miguu, basi awahamishie kwenye ule mchezo wa rede.

Wakihamia huko kwenye rede, nina uhakika wachezaji watakuwa salama salimini. Maana hawatagusana wakati wote wa mchezo.
 
Back
Top Bottom