Mangungu: Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei upande wao?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo yapo kwenye orodha iliyotajwa leo."

"Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei Upande wao.?"

"Yaani unapingaje mkutano na upande wako ni Upande wa MO Dewji?"

"Nimeona sehemu kuna mtu kaandika kuwa Simba imepeleka Invoice ya Bilioni tano kwa MO Dewji ya Usajili mimi nakuja na Document za yeye kuiandikia Bodi kutaka hela zitakazotumika kwenye usajili ziwe Deni na wajumbe wasaini."

Soma
 
Tatizo haya matimu yamekuwa part n' parcel ya vyama vya siasa. Ifike sehemu wanasiasa wabaki huko kwenye siasa na mpira uachwe kwa watu wa mpira.
 
Mo atupishe huu ni wakati wa kuingiza wanachama wapya na kuongeza wawekezaji kama katiba inavyoeleza.
 
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo yapo kwenye orodha iliyotajwa leo."

"Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei Upande wao.?"

"Yaani unapingaje mkutano na upande wako ni Upande wa MO Dewji?"

"Nimeona sehemu kuna mtu kaandika kuwa Simba imepeleka Invoice ya Bilioni tano kwa MO Dewji ya Usajili mimi nakuja na Document za yeye kuiandikia Bodi kutaka hela zitakazotumika kwenye usajili ziwe Deni na wajumbe wasaini."

Soma
Kanji, janja janja mingi mule🤣🤣🙌
 
Bundi ameanza kuzengea zengea upande wetu,
Tusikubali kuharibika, team iko vizuri sahivi, hatutaki malumbano.
Umeandika nini wewe! Kama hutaki malumbano ungana na mwenyekiti Mangungu kuwakataa wababaishaji.
 
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo yapo kwenye orodha iliyotajwa leo."

"Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei Upande wao.?"

"Yaani unapingaje mkutano na upande wako ni Upande wa MO Dewji?"

"Nimeona sehemu kuna mtu kaandika kuwa Simba imepeleka Invoice ya Bilioni tano kwa MO Dewji ya Usajili mimi nakuja na Document za yeye kuiandikia Bodi kutaka hela zitakazotumika kwenye usajili ziwe Deni na wajumbe wasaini."

Soma
Makolo hadi waje kustuka na kutoka kwenye mpira wa uswahili swahili....YANGA BINGWA MARA 10 MFULULIZO
 
Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei Upande wao.?"
Mwenyekiti wa bodi ana nguvu ya kupinga mkutano wa wanachama kama hakushirikishwa...

Katiba inamtaka Mangungu aishirikishe bodi kabla ya kuitisha mkutano...

NB:Magungu tunakupiga mwaka huu hakyanani...
 
Nimeona sehemu kuna mtu kaandika kuwa Simba imepeleka Invoice ya Bilioni tano kwa MO Dewji ya Usajili mimi nakuja na Document za yeye kuiandikia Bodi kutaka hela zitakazotumika kwenye usajili ziwe Deni na wajumbe wasaini."
Simba ni kampuni...

Wewe Mangungu na wanachama wako mmechangia Tsh ngapi kwenye usajili?

Kwanini unataka Mo atoe hela bure wakati kampuni ni wenye hisa wawili?

Pesa anayotoa Mo inarudije kipindi hiki cha transition asipoiandika kama deni?
 
Mo atupishe huu ni wakati wa kuingiza wanachama wapya na kuongeza wawekezaji kama katiba inavyoeleza.
Mimi takua wa mwisho kuamini Mo ni tatizo pale Simba...

Kabla ya Mo hao wahuni wa Mangungu walikua wapi?

Kwanini wasubiri timu ikae vizuri kibiashara ndio wajifanye wanataka kununua hisa ?
 
Kawatumia sana kwenda Mjini kibiashara kwenye kipindi Cha miaka hii 10s aliyokuwa mdhamini wa club

Sidhani kama atakubali kupokonywa Tonge , badamu batamwagika
Hata ungekua wewe mkuu usingekubali...

Mo ameshatoa pesa nyingi sana hapo Simba, kwenye usajili na maandalizi...

Hao kina Mangungu hawawezi kununua hata mchezaji wa elfu 30...

Kuna mwingine mmoja wa kigoma aliwanunuliaga wachezaji chai na chapati baadae alipotibuliwa akaidai club!!

Can u imagine pesa inavyouma
 
Mimi takua wa mwisho kuamini Mo ni tatizo pale Simba...

Kabla ya Mo hao wahuni wa Mangungu walikua wapi?

Kwanini wasubiri timu ikae vizuri kibiashara ndio wajifanye wanataka kununua hisa ?
Hilo ni takwa la kikatiba, Mangungu aliingia kwenye uongozi wa Simba baada ya aliyekuwa mwenyekiti Swedi Nkwabi kujiuzulu.
Mabadiliko ya katiba yameshafanyika na timu ilitakiwa kuwa na wawekezaji kuanzia 3 kama sheria zinavyotaka, wanachama wapya kusajiliwa, wanachama ambao ndio wanamiliki asilimia kubwa kuongoza bodi na wadhamini kutoa watu wawili kwenye bodi ya Simba.
Swala sio walikuwa wapi.
 
Sawa ngoje tuone.
 
Back
Top Bottom