Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
In King Majuto'd voiceKumekucha
Kanji, janja janja mingi mule🤣🤣🙌Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo yapo kwenye orodha iliyotajwa leo."
"Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei Upande wao.?"
"Yaani unapingaje mkutano na upande wako ni Upande wa MO Dewji?"
"Nimeona sehemu kuna mtu kaandika kuwa Simba imepeleka Invoice ya Bilioni tano kwa MO Dewji ya Usajili mimi nakuja na Document za yeye kuiandikia Bodi kutaka hela zitakazotumika kwenye usajili ziwe Deni na wajumbe wasaini."
Soma
Kawatumia sana kwenda Mjini kibiashara kwenye kipindi Cha miaka hii 10s aliyokuwa mdhamini wa clubKanji, janja janja mingi mule🤣🤣🙌
Umeandika nini wewe! Kama hutaki malumbano ungana na mwenyekiti Mangungu kuwakataa wababaishaji.Bundi ameanza kuzengea zengea upande wetu,
Tusikubali kuharibika, team iko vizuri sahivi, hatutaki malumbano.
Makolo hadi waje kustuka na kutoka kwenye mpira wa uswahili swahili....YANGA BINGWA MARA 10 MFULULIZOMwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo yapo kwenye orodha iliyotajwa leo."
"Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei Upande wao.?"
"Yaani unapingaje mkutano na upande wako ni Upande wa MO Dewji?"
"Nimeona sehemu kuna mtu kaandika kuwa Simba imepeleka Invoice ya Bilioni tano kwa MO Dewji ya Usajili mimi nakuja na Document za yeye kuiandikia Bodi kutaka hela zitakazotumika kwenye usajili ziwe Deni na wajumbe wasaini."
Soma
Mwenyekiti wa bodi ana nguvu ya kupinga mkutano wa wanachama kama hakushirikishwa...Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei Upande wao.?"
Simba ni kampuni...Nimeona sehemu kuna mtu kaandika kuwa Simba imepeleka Invoice ya Bilioni tano kwa MO Dewji ya Usajili mimi nakuja na Document za yeye kuiandikia Bodi kutaka hela zitakazotumika kwenye usajili ziwe Deni na wajumbe wasaini."
Mimi takua wa mwisho kuamini Mo ni tatizo pale Simba...Mo atupishe huu ni wakati wa kuingiza wanachama wapya na kuongeza wawekezaji kama katiba inavyoeleza.
Hata ungekua wewe mkuu usingekubali...Kawatumia sana kwenda Mjini kibiashara kwenye kipindi Cha miaka hii 10s aliyokuwa mdhamini wa club
Sidhani kama atakubali kupokonywa Tonge , badamu batamwagika
Hilo ni takwa la kikatiba, Mangungu aliingia kwenye uongozi wa Simba baada ya aliyekuwa mwenyekiti Swedi Nkwabi kujiuzulu.Mimi takua wa mwisho kuamini Mo ni tatizo pale Simba...
Kabla ya Mo hao wahuni wa Mangungu walikua wapi?
Kwanini wasubiri timu ikae vizuri kibiashara ndio wajifanye wanataka kununua hisa ?
Sawa ngoje tuone.Hilo ni takwa la kikatiba, Mangungu aliingia kwenye uongozi wa Simba baada ya aliyekuwa mwenyekiti Swedi Nkwabi kujiuzulu.
Mabadiliko ya katiba yameshafanyika na timu ilitakiwa kuwa na wawekezaji kuanzia 3 kama sheria zinavyotaka, wanachama wapya kusajiliwa, wanachama ambao ndio wanamiliki asilimia kubwa kuongoza bodi na wadhamini kutoa watu wawili kwenye bodi ya Simba.
Swala sio walikuwa wapi.