Mangungu: Nitatoa pesa za usajili Kwa maslahi mapana ya timu

Hivi mnaomlaumu Mangungu mna akili kweli?? yeye ndie alichaguliwa wengine wote wanakabidhiana Vyeo kama kugawa pipi,,,Yaani Try Again anaamua tu kusema ooh NAJIUZULU halafu anasema MO arudi aje awe Mkiti wa Bodi hapo hapo Mo anasema TRY AGAIN ni mjumbe wa bodi. BODI IPI??? Mwenyekiti wa Bodi akijiuzulu Bodi inayobaki ni ipi??? Hivi nyie mbona mnatuona sisi mafala sana kama serikali inavyowaona Watanganyika??
 
Kumbe mambo hayajaisha? Si wanasema sisi tulikuwa tunazusha jamani Simba iko shwari hakuna shari?
Soyo tena Try again na bhakhresa, kawa mangungu tena?

Jasusi wa Mchongo mbona unatuchanganya?
 
Try Again na Mo wanakabidhiana vyeo kama Klabu ni mali yao hawamtambui Mwenyekiti.Tuwaombee wenzetu mambo sii shwari.
Kama uelewi unauliza pale simba kuna kampuni mbili zinazounda Bodi ya wakurugenzi, Simba SC na Mo Simba Co Ltd ambapo unapata Simba Sports Club Company Ltd

Mo na Try Again wameteuana kwenye kamapuni yao zi dhambi wala hawajakiuka sheria au katiba
 
Namuunga mkono Mangungo kwanza MO hastahili kuwa na mamlaka yoyote ndani ya Simba kwa sababu kinachompa nguvu ndani ya Simba ni zile 49% atapozimiliki kikamilifu kwa kulipa fedha ya hizo hisa lakini kwakuwa hadi sasa hajanunua hizo hisa hivyo hiko cheo alichojipa ni batili kuanzia yeye mwenyewe hadi hao wajumbe wake.
 
Kama uelewi unauliza pale simba kuna kampuni mbili zinazounda Bodi ya wakurugenzi, Simba SC na Mo Simba Co Ltd ambapo unapata Simba Sports Club Company Ltd

Mo na Try Again wameteuana kwenye kamapuni yao zi dhambi wala hawajakiuka sheria au katiba
Ununuzi wa hisa ndiyo unampa nguvu, kwakuwa hadi sasa hajalipia hisa hana uhalali wowote.
 
Nyuma ya Mangungu inawezekana tayari kuna matajiri wengine wanaitaka hii timu. Si bure. Huyuhuyu Ngungu ndio afanye usajili wa kina Mayele!
Yaaah sahihi mkuu
 
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…