Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Kuna watu nyuma yake.Ngoja tuone hii vita itaishaje ila huyu mzee anachekesha sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu nyuma yake.Ngoja tuone hii vita itaishaje ila huyu mzee anachekesha sana..
GSMNani tenaa
Sawa mzee wa lesoniahaahahaa sawa mtumishi.
Hii kejeli😃😄Mangungu kaingia kazini sasa hataki tena lawama
Soyo tena Try again na bhakhresa, kawa mangungu tena?Kumbe mambo hayajaisha? Si wanasema sisi tulikuwa tunazusha jamani Simba iko shwari hakuna shari?
Kulingana na maelezo ya Mo, Klabu ya Simba ni yake maana ameinunua.Try Again na Mo wanakabidhiana vyeo kama Klabu ni mali yao hawamtambui Mwenyekiti.Tuwaombee wenzetu mambo sii shwari.
Kama uelewi unauliza pale simba kuna kampuni mbili zinazounda Bodi ya wakurugenzi, Simba SC na Mo Simba Co Ltd ambapo unapata Simba Sports Club Company LtdTry Again na Mo wanakabidhiana vyeo kama Klabu ni mali yao hawamtambui Mwenyekiti.Tuwaombee wenzetu mambo sii shwari.
Ununuzi wa hisa ndiyo unampa nguvu, kwakuwa hadi sasa hajalipia hisa hana uhalali wowote.Kama uelewi unauliza pale simba kuna kampuni mbili zinazounda Bodi ya wakurugenzi, Simba SC na Mo Simba Co Ltd ambapo unapata Simba Sports Club Company Ltd
Mo na Try Again wameteuana kwenye kamapuni yao zi dhambi wala hawajakiuka sheria au katiba
Hatari sanaNamuunga mkono Mangungo kwanza MO hastahili kuwa na mamlaka yoyote ndani ya Simba kwa sababu kinachompa nguvu ndani ya Simba ni zile 49% atapozimiliki kikamilifu kwa kulipa fedha ya hizo hisa lakini kwakuwa hadi sasa hajanunua hizo hisa hivyo hiko cheo alichojipa ni batili kuanzia yeye mwenyewe hadi hao wajumbe wake.