Mangungu: Nitatoa pesa za usajili Kwa maslahi mapana ya timu

Mangungu: Nitatoa pesa za usajili Kwa maslahi mapana ya timu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
MANGUNGU [emoji119]: KWA MASLAHI MAPANA YA KLABU YETU,NITATOA PESA ZA USAJILI.

Pesa za usajili Nitatoa mwenyewe Kwa kushirikiana na Wanachama na wapenzi wa Simba, Sasa nipo kutafuta mkurugenzi wa ufundi atakayesimamia mtandao wa usajili na upembzi wa kina wa. Wachezaji

.........
Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi,Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti Tuheshimu katiba.

[emoji2398] MANGUNGU [emoji119]
1718190335362.jpg
 
Back
Top Bottom