Mangungu: Nitatoa pesa za usajili Kwa maslahi mapana ya timu

Mangungu: Nitatoa pesa za usajili Kwa maslahi mapana ya timu

Hii Simba wangeigawa mara mbili. Simba Mangungu na Simba MO. Kama zamani si kulikuwa na Simba na Small Simba. Baada ya mgawanyo huo kila mmoja afanye analotaka sasa. Mashabiki wa Simba mtachagua upande mnao taka.Tumechoka na mivutano yao isiyo na tija.
Kwamba wagswane na wachezaji [emoji23][emoji23]
 
Ewe mangungu, epuka adhabu ya kaburi na kiama kwa kujiepusha na uongo. Mwenyez mungu akurehemu ,mgeukie mola upate rehma.
[emoji32][emoji32] we bibi ....inajuaje kama mangungu ni muongo..... what if kumbe ndo mmiliki wa space x
 
Nyie machawa ndio chanzo cha yote haya hata kama mtu huna akili huwezi kuona huo ni utoto? Try again amejihuzuru baade anamteua Mo hio power kaitoa wapi? wakati Mo nae alie teuliwa na mtu alie jihuzuru anateua mtu hapo bado hauoni kuna utata?
Utoto Gani yani mtu anafanya mabadiliko ndani ya kampuni yake useme ni utoto? Punguza mihemko jielimishe kuhusu jambo unalotaka kuliongelea
 
Nyuma ya Mangungu inawezekana tayari kuna matajiri wengine wanaitaka hii timu. Si bure. Huyuhuyu Ngungu ndio afanye usajili wa kina Mayele!
Nyuma ya Mangungu hakuna matajiri; hao unaoona ni mashabiki tu.
1718245143535.png



1718245530641.png
 
Back
Top Bottom