Mangungu piga kazi baba, wanachama tuko nyuma yako

Zile "Khamsa" kiukweli zimenichanganya kiasi kwamba hata salamu kwa wanasimba wenzangu imekuwa ngumu!

Mimi kama mwanachama hai wa Simba Sc mwenye namba ya uanachama No_678,nachukua nafasi hii kumpongeza mwenyekiti wetu bwana Murtaza Mangungu kwa kuendelea kuwa Imara katika kipindi hiki ambacho timu yetu inapitia changamoto ya matokeo yasiyoridhisha!.

Kiongozi wetu Mangungu ni mtu na nusu,tangu amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa timu yetu ametuletea mafanikio ambayo wapinzani wetu wanasikia tu,ametupatia ngao ya Jamii mwaka huu lakini pia ametufikisha robo fainali ya klabu bingwa mwaka jana,hivyo mtu wa kuondoka ndani ya Simba ni MO na wala siyo Mangungu!.

Halafu na nyie mashabiki maandazi hebu kaeni kwa kutulia,kwani kufungwa "Khamsa" ni sisi wa Kwanza?

Kama unachukizwa na uwepo wa Mangungu anzisheni timu yenu ila Mangungu haondoki ng"oo kwenye Simba yetu!

Kuna Mashabiki maandazi ambao kila siku ni kumshambulia Mwenyekiti wetu Mangungu hapa JF,hawa Mashabiki ndiyo wanafanya tuitwe Madunduka au Makolo kutoka upande wa Pili!.

Mashabiki hao maandazi ni

Kalpana

Wewe nakuonya ukae mbali na Simba yetu!.

OKW BOBAN SUNZU - Wewe pia umekuwa unaleta nyuzi hapa kila siku za kuisimanga Simba yetu,achana na Simba yetu!

KIBU DEE MTOMBANGILE - Wewe kila siku ni kutupigia kelele na nyuzi zako za kutudharirisha hadi kuitwa Makolo toka upande wa pili,tafadhali jiheshimu!

GENTAMYCINE - Wewe pia ukae mbali na Simba yetu,kila siku unaanzisha nyuzi za kijinga jinga kisa kuisema Simba,ukome kuanzia leo.

Hao ni baadhi tu ya mashabiki maandazi wa timu yetu,mkiona mnanyanyaswa anzisheni timu yenu ila Mangungu kwa taarifa yenu Haondoki Ng'ooo!

VIVA MANGUNGU VIVA!

VIVA MAKOLO VIVA!

VIVA MADUNDUKA VIVA!
Madundukuma mamako bwege wewe
 
Madundukuma mamako bwege wewe
download.jpeg
 
Halafu katika safari akigeuka nyuma anakuta hakuna mtu aliye nyuma yake!
 
Back
Top Bottom