Mangungu: Tukitendewa kwa usawa bingwa atapatikana kwa haki

Mangungu: Tukitendewa kwa usawa bingwa atapatikana kwa haki

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Baada ya kukosa ubingwa kwa mara ya tano mfululizo, Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa Simba SC amesema; "Kukiwa na mazingira ya kiushindani na timu zote 16 zinazoshiriki Ligi Kuu zikitendewa kwa usawa, na kukiwa na mashindano ya haki, naamini bingwa anaweza akapatikana vizuri."

 
Huyu mzee hamnazo,anataka usawa gani?Wao walisha chukua ubingwa siku ile wametufunga 2 bila kipindi cha kwanza,wali shindwaje kulinda na leo wangekua machampion.huyu mzee akalee wajukuu tu
 
Usoni tu anaonekana Mwanga, yaani tuache kuganya usajiri mzuri tusingizie marefa!
 
Simba inabidi ibadilike kimtazamo na kimatendo, scouting nzuri inahitajika kupata wachezaji quality ili kuleta utofauti uwanjani, tukiishia kusema tu na kupayuka bila juhudi madhubuti, hii ligi itaendelea kuwa ya Yanga tu kila mwaka inabidi kubadilisha mtazamo wa aina hii
 
Back
Top Bottom