Simba inabidi ibadilike kimtazamo na kimatendo, scouting nzuri inahitajika kupata wachezaji quality ili kuleta utofauti uwanjani, tukiishia kusema tu na kupayuka bila juhudi madhubuti, hii ligi itaendelea kuwa ya Yanga tu kila mwaka inabidi kubadilisha mtazamo wa aina hii