Unapata wapi ujasiri wa kumbagaza hivi mwenyekiti wetu Mangungu? Umetumwa na Magori?Hili Lizee ni kirusi kikuu ndani ya club ya Simba, sijui kwanini bado yuko uongozini hadi muda huu.
Wakati huu tunajipanga kuelekea match za makundi ya CL, badala tuungane na tuwe letu 1, tunaanza tena kutafuta Migogoro isiyo na tija wala msingi wowote kwa sasa.
Huyu Mpumbavu hatakiwi kuchekewa kabisa, sahivi anatakiwa aoneshwe kuwa club ni ya watu sio yeye, si akaongoze familia yake huko kwani lazima simba tu.
Mataqo yake hili lizee, linaudhi na kukera, qumamaqe zake.
Km Senge vile. Khaaah
Mchukueni huko utopolo tumewapa Bure.Mangungu mashabiki na wanachama tuko nyuma yako. Kabia juu hivyo hivyo.
Hoja zipi? Huyu akionaga tu Simba imetulia na inafanya vizuri, haridhiki lazima atafute vijisababu kutokee mgogoro, na simba ipoteane.Mzee ajibiwe kwa hoja!!, mnataka mmpoke madaraka yake kwa kigezo Cha utulivu na matokeo ya uwanjani?. Viongozi waliotangaza huo uchaguzi wana mamlaka hayo?, kwanini aonewe wakati yeye ndiye anapaswa kusikilizwa na Bodi!.
Utaratibu upi? Muda wake umeisha, hatumtaki atupishe, anang'ang'ania nini?Hahahaha mbona mnapanic. Fuateni utaratibu. 😂😂
Hatuwezi kumuelewa na Hatumtaki, mbona analijua hili, anakazania sana kubaki, sisi hatumtaki atoke.Kuna siku mtakuja kumuelewa tulizeni vichwa vyenu.
Kwani hatujui huyo Ngungusi ni kirusi chenu kilichopo hapo simba, na hapo kiko kwa kazi maalumu, kinataka kuharibu, safarii hii ndio atajua km kachumbali ni mboga au kiungo cha wali.Halafu ndio mnataka mumfunge Berkane na Orlando. Mda si mrefu mtaanza GSM anaharibu ligi.
Bora iende kwa Mwamedi, yeye ana nini pale alipo? Zaidi ya pumbu za kizee na upara wa kuokota, hata hela ya kumlipa duchu kwa mwezi hana.Mangungu pambania timu baba tunakuaminia! Ukizembea timu inaenda na Mwamedi!
HATUMTAKIII, huo utaratibu akawaambie mkewe na watoto wake.Sasa kosa lake nini? Yeye amesisitiza tu taratibu zifuatwe. Inawezekana tukafuata taratibu na tukajiandaa na chamoions league tukiwa na umoja.
Em kwenda huko na wewe.Ndugu mjumbe punguza munqari
Hangaika na team yako iliyochukuliwa na GSM na watoto wa mjini mazima.Unapata wapi ujasiri wa kumbagaza hivi mwenyekiti wetu Mangungu? Umetumwa na Magori?
Humtaki kivipi Mwenyekiti aliyechaguliwa kihalali na wanachama wa klabu? Au umeamua kuwadharau wanachama waliomchagua kupitia sanduku la kura?HATUMTAKIII, huo utaratibu akawaambie mkewe na watoto wake.
Sio Simba sports Club.
Ndio maana nimesema kuna siku mtakuja kumkumbuka na siku hiyo sio mbaliHatuwezi kumuelewa na Hatumtaki, mbona analijua hili, anakazania sana kubaki, sisi hatumtaki atoke.
HatutakiiiiiNdio maana nimesema kuna siku mtakuja kumkumbuka na siku hiyo sio mbali
Vyovyote vile sawa tu.Humtaki kivipi Mwenyekiti aliyechaguliwa kihalali na wanachama wa klabu? Au umeamua kuwadharau wanachama waliomchagua kupitia sanduku la kura?
Kagombee uenyekiti nafasi zimetokaHatutakiiiii
HATUMTAKIII, huo utaratibu akawaambie mkewe na watoto wake.
Sio Simba sports Club.
Mwenyekiti wenu wa Msimbazi anazidi kiyamwaga,anakwambia hajui Mo alimpa nani hela.Kwani hatujui huyo Ngungusi ni kirusi chenu kilichopo hapo simba, na hapo kiko kwa kazi maalumu, kinataka kuharibu, safarii hii ndio atajua km kachumbali ni mboga au kiungo cha wali.
Mataqo yake huyo. HATUMTAKIII.