Mangungu: Uchaguzi uliotangazwa Simba ni batili

Kila jambo linalohusu taasisi haliendeshwi kama gege la wahuni!!, simba ni taasisi inayongozwa na miiko na kanuni zake ikiwa KATIBA YA SIMBA NDIO SHERIA MAMA!. Uchaguzi hufanyika kwa taratibu na sio watu kutaka kupita na kaupepo ka ushindinwa mechi hizi kutaka kupindisha taratibu. Sasa serikali kupitia Baraza la michezo waamewaambia huo uchaguzi haujulikani sijui wataiibishia hadi serikali... Mafanikio ya timu uwanjani hayawezi kuwa kivuli cha kutofuata taratibu za taasisi.Afrika mmelogwa nyie?. Yaani ukiwa kwenye siasa unataka ccm wafuata utaratibu wa kidemokrasia wa chaguzi ila ukiwa kwenye mpira katika engo hiyo hiyo unataka wapindishe taratbu za uchaguzi kisa ushindi?. 😅😅🙌🙌Buree kabisa..
 
Mbona hasemi kama hela anazotoa Mo kuhudumia timu na usajili nazo ni batili ?
 
Kwani hata sasa CCM hiyo inatumia Demokrasia? Au iliwahi kutumia?

Mangungu hatumtakiiiii.
 
Kwani hata sasa CCM hiyo inatumia Demokrasia? Au iliwahi kutumia?

Mangungu hatumtakiiiii.
Huna gates za kumkataa Mangungu!!, yupo kisheria ataondila kisheria na awam anakuja na DUBE kwenye uchaguzi sasa.
 
Kuna pattern huws na observe hapa, kila club ikianza kufanya vizuri mangungu and co wanaibua migogoro
 
Uwezo wako wa hoja ni mdogo sana hapa ni facts sio ngonjera mzee yupo sahihi muongozo hauja fatwa sasa kakosea nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…