Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

Wilaya ni kinondoni uende kuishi Chanika Una akili kweli weww
Mkuu umenichekesha sana. Ila mkuu haya mambo ni kama mapenzi. Wewe unaweza kuwa haumpendi fulan, lkn mungine akawa hasikii wala haambiliki kwa huyo usiompenda wewe.
 
Wilaya ya ubungo ndo wilaya inayoongoza kwa idadi kubwa ya wachaga🀣🀣🀣🀣
Mkuu tuache kwenda huko kwenye makabila. Tuchangie tu kulingana na matakwa ya thread husika.
 
Naona temeke imeangukia pua..kule ndio vilinge vya waganga..panya road..wala unga..singeri na malaya wachafu.

Kule uswahili mtupu na low minded people wamejazana huko.

Wajanja wapo kinondoni na wenye pesa bata zote za jiji la daslam ziko kinondoni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa taarifa yako ndani ya Dar jiji ni Ilala pekee yake,kinondoni ,ubungo,kigamboni uko ni manispaa...

Ilala ndio jiji

Ilala ndio jiji

Ilala ndio jiji

POSTA,KARIAKOO,UPANGA, ILALA BOMA Yote ile ndio Jiji lenyewe

Jengo moja tu kule posta kama yale ya pssf twin towers yanatumia umeme sawa na mkoa wa Lindi...Usipachukulie kawaida
 
Uwezekano wa Kinondoni kuibuka kidedea katika mchabango huu ni mkubwa, ikifuatiwa kwa mbali kidogo na Ilala. Temeke huenda ikawa nyuma hata ya Kigamboni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Mkuu huu mtizamo wako sipingani nao, ila ngoja tutaangalia katika comments za wachangiaji wengine ili tuone wapi panakimbiza kutokana na sifa zilizoorodheshwa hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…