mkuu service leave ni kodi?Hiyo ni kodi ya huduma za jamii.Inatozwa kwenye biashara au huduma zote zinazoendeshwa ndani ya halmashauri husika.Kiwango chake ni 0.3% ya mauzo yako.Kama unatumia mashine ya EFD kodi hiyo itakokotolewa kutoka kwenye mauzo yako ya mwaka .Kama hautumii EFD kiwango utakacholipa kitaamuliwa na halmashauri husika
Wanakuja wajuzi wa mambo mkuu, lakini ungewauliza wao wenyeweLeo Manispaa wamekuja dukani kwangu kukagua Leseni ya biashara. Hiyo ninayo,lakini wakaniambia Sina Service leave. Nauliza nini maana ya Service Leave? Inamaanisha nini ijapo nimeilipa.
Inaitwa SERVICE LEVYLeo Manispaa wamekuja dukani kwangu kukagua Leseni ya biashara. Hiyo ninayo,lakini wakaniambia Sina Service leave. Nauliza nini maana ya Service Leave? Inamaanisha nini ijapo nimeilipa.
service levymkuu service leave ni kodi?
hapo sawaservice levy
Labda anaogopa wangemzaba mabao..😂Mkuu cha kwanza kma ulikuwa ujui ungewaomba hao wwnyewe wakueleweshe nini hiyo!?
Hukuwauliza?Nia aina ya yunifumo kimini fulani huvaliwa hadi na wanaume.Leo Manispaa wamekuja dukani kwangu kukagua Leseni ya biashara. Hiyo ninayo,lakini wakaniambia Sina Service Levy. Nauliza nini maana ya Service Levy? Inamaanisha nini ijapo nimeilipa.