MKWANO
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 234
- 161
1. Watumishi wadai Hela ya Likizo Zao tangu 2024.
Ujio wa Mhe Waziri Mkuu,watumishi waliambiwa wapeleke Vendor form na Bank statement tayali kwa kulipwa
Kama hawakulipwa kihalali na Serikali inajua ( maana Waziri Mkuu ndiye alikuwa Waziri wa Fedha),Kwa nini mlimhadaa kwamba Halmashauri Haidaiwi?
Na kwa nini baada ya kumaliza ziara zoezi la kulipa madeni limefutika?
Millioni 200 zolizotengwa kuwalipa watumishi kabla ya ujio wa Mhe PM zimeyeyukiq wapi?
2. Ukarabati wa Jengo Jipya la manispaa ulilenga kuficha nini? Kama jengo hata Miaka 3 haijaisha ,mabilioni ya Kodi za Watanzania zimetumika lakini jengo limechakaa na liko chini ya kiwango.
Changamoto iliyopo Manispaa ya Ilemela.
1. Kuna Kiongozi ndani ya familia ya Mfalme aliyekuwa ndiye kiranja wa Wizara Amejaza washikaji ( incompetence ) hasa Wakuu wa idara.Hivyo hawana shida ya kusimamia,kuboresha na kutatua changamoto hususani halmashauri nyingi zisizo fanya vizuri
2. Mkuregenzi na Afisa Utumishi Mkuu hawatoshi.Rushwa ,Ubabe na matumizi mabaya ya Madaraka; Mkuregenzi alikuwa Tamisemi ( bench officer) lakini hatoshi na Hana administrative strategies,anaburuzwa na wasaidizi wake.
MHIMU; ubovu wa watendaji hasa ngazi ya Wilaya na Mikoa ndiyo inayosababisha Chuki,Hasira kwa Serikali Kuu. Hivyo hata tuhubiri vipi AMANI bila kusimamia HAKI,UKWELI NA UWAJIBIKAJI ni kazi Bure.
Kwenye kuwawajibisha watendaji wabovu,Anza na hizi Halmashauri mbovu hususani Ilemela na Mkoa wa Mwanza kwa Ujumla.