Manispaa ya Kibaha: Huduma ya Mabasi ya Mwendokasi Kibaha - Kimara imerejea leo Julai 6, 2026

Manispaa ya Kibaha: Huduma ya Mabasi ya Mwendokasi Kibaha - Kimara imerejea leo Julai 6, 2026

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imetangaza kurejeshwa kwa huduma ya usafiri wa Mwendokasi kuanzia leo 06 Julai 2026!

Pichani ni mabasi katika Stendi ya Kibaha!
WhatsApp Image 2026-07-06 at 13.13.50.jpeg
WhatsApp Image 2026-06-30 at 14.49.23.jpeg
Pia soma ~ Mwendokasi imesitisha huduma Kibaha na hakuna maelezo
 
Kibaha-Kimara nauli 2,000/=

Mboni kama ya moto sana?
 
Back
Top Bottom