Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio wanatengeneza siasa Kali na magaidi?Iko makongo kwenye Kambi ya JWTZ ili zaliwa kutoka shule ya msingi Lugalo Moja ya shule the best kuanzia taaluma na nidhamu ,shule watu wanasoma la kwanza Hadi la saba Bila kujihusisha na mapenz kutokana na biti la walimu wajeda ,watu kutengwa kijinsia muda wa break
Mfumo mgumu ni Utumishi, ila sio huu wa zoa zoa tamisemi,Walimu wa shule za serikali wana elimu nzuri kuliko walimu wa shule kama tusiime.
Mfumo wa kuajiri wa serikali ni mgumu kwa kilaza kupita
Wale wanaogopa kubadili mfumo wa elimu wajifunze hapa,na wengine wafuate utaratibu huu,tusonge mbele.Habari wadau.
Ukweli nampongeza sana mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni kwa kuamua kubadili shule za msingi zilizokuwa swahili medium na kwenda english medium.
Hii inawaokoa wazazi kwa kuwapunguzia gharama za ada kubwa kulipa private schools wakati elimu ni hiyo hiyo.
Na pia shule za olimpio na Diamond zitapumua sasa. Maana watoto walikuwa wanatoka mbali sana kuzifata hizo shule kati kati ya mji.
Manispaa zingine zinapaswa kuiga hili. Shule za english medium ziwe nyingi.
Hizi ni shule za msingi za serikali zilizogeuzwa kuwa english medium. Hivyo mzazi unaeishi maeneo hayo peleka mwanao hapo. Achana na kumsumbua mtoto kwenda mbali olimpio na Bunge.
1. Ali Hassan Mwinyi primary school
2. Mapambano primary school
3. Mwenge primary school
4. Mirambo primary school
5. Bunju Mkoani primary school
Wamiliki wa shule za private msilete fitna za kibiashara ili shule hizi za msingi za serikali english medium zizidi kuwa nyingi.
KBunge ile nyuma ya BOT nayo ni english medium?? Mbona kitambo sana boss
NdioBunge ile nyuma ya BOT nayo ni english medium??
Shule iko town halafu mbaya, au walishaikarabati?Bunge ile nyuma ya BOT nayo ni english medium??
Sidhani, iko kizamani sana na ipo karibu na Ikulu, BOT, na maofisi makali makaliShule iko town halafu mbaya, au walishaikarabati?