Kufundisha shule ya msingi haihitaji mwl aliyesomea Cambridge (UK). Kingereza cha kawaida tuu ambacho hadi mwalimu anahitimu chuo anakimudu vyema. Fuatilia matokeo ya darasa la saba toka shule hizo za serikali za english medium utagundua kuwa walimu wanafanya vyema. Ufaulu wa daraja A kwa shule nyingi za hivyo ni karibu 90% na ukikuta C ni ya bahati mbaya sana. Kiswahili ni tatizo na ndo janga linalowafelisha wanafunzi wengi kuanzia shule za msingi hadi vyuoni, mtoto anakariri vitu sababu ya ugumu wa lugha aliyoikuta kuanzia sekondari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.