Manispaa ya Kinondoni imefanya jambo kubwa sana kuongeza English medium primary school za ada nafuu

Hizo ni tuition za kingereza cha kujibia mitihani tu
 
Zipo nyingi kwa sasa nadhani kila wilaya
 
Zipo nyingi kwa sasa nadhani kila wilaya

Kama unazijua zitaje ili wengine nao wajue

Wilaya ya ubungo shule za serikali za msingi english medium ni zipi na zipo wapi ?
 
Vizuri, shida quality

Walimu wa shule za serikali wana elimu nzuri kuliko walimu wa shule kama tusiime.

Mfumo wa kuajiri wa serikali ni mgumu kwa kilaza kupita
 
sio wanatengeneza siasa Kali na magaidi?
 
Walimu wa shule za serikali wana elimu nzuri kuliko walimu wa shule kama tusiime.

Mfumo wa kuajiri wa serikali ni mgumu kwa kilaza kupita
Mfumo mgumu ni Utumishi, ila sio huu wa zoa zoa tamisemi,

Pvt unakula paper la haja mzee, sio kitoto
 
Wale wanaogopa kubadili mfumo wa elimu wajifunze hapa,na wengine wafuate utaratibu huu,tusonge mbele.
TUMECHELEWA SANA.WAKUBWA WANAPELEKA WATOTO WAO SHULE ZA ENGLISH MEDIUM",HII HAISEMWI NI KIMYA KIMYA.
 
Hii inapaswa kuwa ni agenda ya Dar es Salaam, kwa maana ya kuzitawanya hizo shule katika maeneo yote jijini.

KONGOLE kwake Mkurugenzi wa Kinondoni WAAMSHE Wakurugenzi wenzio WALIOLALA, kwa kuwa ni faida kwa Wananchi ( siyo Yanga ) basi iwafikie WOTE.
 
Kinondoni wamejitahidi.Kule ubungo Kila kitu shida tupu.shule hamna,barabara hamna,hospitali hamna,maji hamna lakini yule mbunge wao anavyomsifu mama unaweza kutamani kumpiga Kofi
 
Ni jambo jema sana sana nadhani kila kata ingekuwa na shule moja ya English medium ingesaidia sana sana
 
Msongola kata ya Msongola Ilala kuna shule ya English Medium ya Serikali
 
Mapambano primary school ipo sinza nilisoma hii Enzi hizo hii safii sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…