Kwa hiyo huyo karani siyo mzawa wa Mwanza aliwezaje kupata hiyo nafasi wakati hajui lugha ya mawasiliano mahala anapoenda kufanya sensa ..Nimecheka sana ITV karne hii kuna watu hawajui kiswahili
Karani wa sensa amekuwa katika wakati mgumu leo kuelewana na mwananchi..
Umeambiwa waliopata Sensa wote ni wazawa wa maeneo hayo?kuna watumishi wa umma ambao wanafanya KAZI maeneo tofauti na walikozaliwa ulitaka waende kuombea kwao?Kwa hiyo huyo karani siyo mzawa wa Mwanza aliwezaje kupata hiyo nafasi wakati hajui lugha ya mawasiliano mahala anapoenda kufanya sensa...
ulimaikiliza Mama Anna Makinda vizuri kuwa makarani watatoka wap[i wa maeneo husika... huku nilipo kati makarani 27 watatu ndiyo wakaazi wa eneo husikaUmeambiwa waliopata Sensa wote ni wazawa wa maeneo hayo?kuna watumishi wa umma ambao wanafanya KAZI maeneo tofauti na walikozaliwa ulitaka waende kuombea kwao?
Kwani kwa uelewa wako unadhani mtu ukiwa New York City hauruhusiwi kuongea lugha yako ya asili?Hilo ni jiji gani watu wanaongea kilugha...?
Unajua ulichokiandika. Manispaa ya Jiji no kitu Gani.?Usiseme manispaa Sema manispaa ya jiji
Uulizwe kingereza ujibu kwa kilugha chako ukiwa new york cityKwani kwa uelewa wako unadhani mtu ukiwa New York City hauruhusiwi kuongea lugha yako ya asili?
Hao makarani walitoka mbeya. Waliyofanya interview na walioitiwa kazi ni tofautiKwa hiyo huyo karani siyo mzawa wa Mwanza aliwezaje kupata hiyo nafasi wakati hajui lugha ya mawasiliano mahala anapoenda kufanya sensa ..
Hao jamaa wamefanya makusudi kwa kuwaa ajora za sensa hazikuzingatia wanufaika wa maeneo husika.
Wala siyo la Kushangaa bali tujishangae sisi kumchukuwa Mtu kutoka Kigoma kwenda kufanya kazi ya Ukarani usukumani tena kwenye Eneo ambalo hajawahi kulikanga wala kuishi maeneo husika