Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana yule ana wivu na chuki binafsi, yeye yuko tayari kwa mapambano na kila mtu kama mtoto wa chekechea. Huyu mtu ni mshari sijapata kuona, sijui CCM walimtoa wapi?manji kamuuzi nini bwana yule mbona anamkalia kooni namna hiyo
Hasa wakipata mbadala wako!Hii ndiyo tabia ya ccm, ukitofautiana nao tu basi utaandamwa mpaka upotee, hapa inabidi ukawa waingilie kati kumtetea maana hakuna namna
Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.Hata na sisi pia zamu yetu inakaribia,hivyo tujiwekeni tayari siyo kumlilia Manji.
Amina,Mkuu acha kuleta utabiri ambao hauwezi kutimia. Mawe hasa yale ya pembeni (ya msingi) hayataguswa. Huyajui? moja wapo ni ESCROW. Tafuta na mengine yapo mengi. Utabiri wako hautatimia, haya hayataguswa kamwe.
ulipo nichekesha ni hapo uliposema Manji ana miliki Tigo kwa 90% hahahahahah
Hivi unajua hiyo case yake na Tigo ilifunguliwa lini?
😀😀😀😀 DAAAH HUMU WATU MKO VZR AISEE NACHEKA TU MIEkumbe ndio kaja na mambo ya bando halichachi
HAHAHA mleta uzi katoa details gani zaidi ya uzushi? Mmeanza kuisikia juzi case ya Manji na Tigo? Na mkadanganywa kuwa ni serikali imefungua case....Ingekua vizuri sana kama ungetoa details kama mleta uzi.
Kawadanganye machizi wenzio kila dawa ya kulevya ina aina yeke..vipimo vinaonesha aina...manji yeye ni Heroin sasa kama Heroin ni sawa na dawa ya mafua hakuna shida...Hizi kesi za Manji ni umiza kichwa. Kuhusu kampuni ya simu hiyo if an aggrieved party files a case, it must be a civil case and not criminal.
Hili la madawa ya kulevya kwa mtu ambaye haukumkamata na madawa ya kulevya bali unasema vipimo vyako vimeonesha ni mtumiaji, hilo ni kichekesho. Sababu hata mgonjwa wa kisukari akipimwa vipimo vitasema ni mtumiaji wa madawa ya kulevya. Tena hata dawa za mafua nazo ukitumia kisha ukaenda kwa mkemia mkuu watasema wewe ni mbwia unga.
Tanzania ya Magafuli.
atakuwa aligoma kuchangia mahafa ya kagerakule Tigo,huku Yanga.huko ndio kuishika nchi kwenyewe.kama inatarajiwa mtu kama huyu aishi kama shetani huko ni kujidanganya.
au inawezekana alikataa kumchangia njulugu mungu wa dar?
Ndio tupe detail zako za ukweli sasaHAHAHA mleta uzi katoa details gani zaidi ya uzushi? Mmeanza kuisikia juzi case ya Manji na Tigo? Na mkadanganywa kuwa ni serikali imefungua case....