Kwa kesi ya tigo anayemshitaki siyo serikali, ndivyo nimeelewa.Hii ndiyo tabia ya ccm, ukitofautiana nao tu basi utaandamwa mpaka upotee, hapa inabidi ukawa waingilie kati kumtetea maana hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kesi ya tigo anayemshitaki siyo serikali, ndivyo nimeelewa.Hii ndiyo tabia ya ccm, ukitofautiana nao tu basi utaandamwa mpaka upotee, hapa inabidi ukawa waingilie kati kumtetea maana hakuna namna
Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.Hata na sisi pia zamu yetu inakaribia,hivyo tujiwekeni tayari siyo kumlilia Manji.
Acha udaktari wako uchwara.Vipimo vinaweza kuonesha mpaka aina ya dawa unazotumia.Hizi kesi za Manji ni umiza kichwa. Kuhusu kampuni ya simu hiyo if an aggrieved party files a case, it must be a civil case and not criminal.
Hili la madawa ya kulevya kwa mtu ambaye haukumkamata na madawa ya kulevya bali unasema vipimo vyako vimeonesha ni mtumiaji, hilo ni kichekesho. Sababu hata mgonjwa wa kisukari akipimwa vipimo vitasema ni mtumiaji wa madawa ya kulevya. Tena hata dawa za mafua nazo ukitumia kisha ukaenda kwa mkemia mkuu watasema wewe ni mbwia unga.
Tanzania ya Magafuli.
Hii mada uliileta nikakuelewesha vizuri kabisa na ukasema umeelewa aisee nyie mtakuwa mnalipwa sio bureMchawi wa maendeo ya mtanzania ni mtanzania mwenyewe!
Yaani maccm yamedhamiria kweli yamuangushe manji, kwa hili yatagaragazwa tu
Hapo ni kukana uraia Wa nchi moja mchezo unaishaSheria inasemaje kuhusu Mtu kumirki passport mbili za kusafiria kwa nchi mbili tofauti,adhabu yake ni nini?