Ni chaguo la Mungu, CCM walimtoa chato akiwa mbunge tena waziri wa ujenzi kwa Mara yake ya mwisho......waliamua wampe nchi ili aijenge aachane na kujenga wizara na kutetea wananchi wa kijimbo kimoja!!!Bwana yule ana wivu na chuki binafsi, yeye yuko tayari kwa mapambano na kila mtu kama mtoto wa chekechea. Huyu mtu ni mshari sijapata kuona, sijui CCM walimtoa wapi?
Kama unajua zaidi unamkosoa kistaarabu tu, ye kaanzisha uzi wake hapa sie wengine hatujui lolote at least tumepata mwanga, kma ulivyosema kuwa kuna watu wanafanya Jf ionekane kama kijiwe, hata nyie pia ndo mnaofanya kabila lenu lionekane lina mbwembwe mno...ulipo nichekesha ni hapo uliposema Manji ana miliki Tigo kwa 90% hahahahahah
Hivi unajua hiyo case yake na Tigo ilifunguliwa lini?
Nyie ndio huwa mnafanya Jf ionekanane muda mwingine ni kijiwe cha wazushi na majungu..
Swalii zuri maana kila mtu kawa mwandishi siku hizii.... Wengine ma editor wengine wanacopy n kupaste tu hmuuuuSource!!!!!!! Ya habari?
uko sahihi kamanda, sera yetu sasa hv ni kutetea mafisadi, wala rushwa, wauza unga na washenzi wengine wote wanaojulikana!Hii ndiyo tabia ya ccm, ukitofautiana nao tu basi utaandamwa mpaka upotee, hapa inabidi ukawa waingilie kati kumtetea maana hakuna namna
Si ndio kawaida yenu kuwatetea mafisadi?Hii ndiyo tabia ya ccm, ukitofautiana nao tu basi utaandamwa mpaka upotee, hapa inabidi ukawa waingilie kati kumtetea maana hakuna namna
tujiulize kwanza, alitumia utaratibu gani kununua hisa, je hisa hizo zilisajiliwa kwenye soko za hisa na kuuzwa kihalali???
kama walifuata sheria zote za inch waache kumsumbua manji, na kama sheria haikufuatwa basi haki itendeke.
Hivi huyu Manji anaetetewa hapa ndio yuleyule wa miaka ya 10 iliyopita ama mwingine?Bwana yule ana wivu na chuki binafsi, yeye yuko tayari kwa mapambano na kila mtu kama mtoto wa chekechea. Huyu mtu ni mshari sijapata kuona, sijui CCM walimtoa wapi?
HAHAHA mleta uzi katoa details gani zaidi ya uzushi? Mmeanza kuisikia juzi case ya Manji na Tigo? Na mkadanganywa kuwa ni serikali imefungua case....
Hivi Manji ni ndugu yetu katika Imani?haki itapatikana inshaalah
Kununua hisa sio lazima ziwe zimesajiliwa kwenye soko la hisa. Lakini ni vizuri tukajua kama taratibu zilifuatwa!tujiulize kwanza, alitumia utaratibu gani kununua hisa, je hisa hizo zilisajiliwa kwenye soko za hisa na kuuzwa kihalali???
kama walifuata sheria zote za inch waache kumsumbua manji, na kama sheria haikufuatwa basi haki itendeke.
Mimi mwenyewe!Source!!!!!!! Ya habari?