Tetesi: Manji akabiliwa na kesi ya tatu, hii ni kuhusu tigo

Hii ndiyo tabia ya ccm, ukitofautiana nao tu basi utaandamwa mpaka upotee, hapa inabidi ukawa waingilie kati kumtetea maana hakuna namna
Kwa kesi ya tigo anayemshitaki siyo serikali, ndivyo nimeelewa.
 
Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.Hata na sisi pia zamu yetu inakaribia,hivyo tujiwekeni tayari siyo kumlilia Manji.

Unaouhakika au wanachagua mawe ya kugeuza sema kusubiri kila wanapobagua wanapigwa niwe la kisogoni kukumbushwa manake vichwa vyao vigumu mno Kama walivyokumbushwa masogange, wahindi WA Dangote bado madongo yapo.
 
Acha udaktari wako uchwara.Vipimo vinaweza kuonesha mpaka aina ya dawa unazotumia.

Wanamichezo wanaopimwa na kubainika kutumia dawa za kuongeza nguvu mbona huwa hawatumii hiyo defence wakafaulu kesi zao?Dawa ipi ya kisukari imetengenezwa kwa heroine? Kwani Manji ana kisukari?

Haha hivyo sio kila anayepelekwa mahakamani lazima akutwe na hatia bali ni kuhakikisha haki ya kila upande inalindwa na ndiyo kazi ya mahakama.
 
Mushimiwa anaigeuza Feri kua getto la uporaji, hii ndio shida ya kuangukia usipotarajia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…