wapi alipinda?hajanyooka Tu?
Mwenye pesa sio mwenzakohuyu bado hajatia adabu,akapimwe tena mkojo
Kunyooka wapi muache manji wetuhajanyooka Tu?
Huyo shabiki wa Simba usihangaike kumuuliza maswalikwasababu gani?
MIkia walidhani Manji na Chid Benz ni sawa...sasa hivi marefa wataanza kurushiwa lawamaMikia presha inapanda!!! The man is back