Taarifa zinaeleza kuwa Mfanyabiashara Yusuph Manji amesitisha safari ya Yanga kuelekea Kagera kwa njia ya basi, sasa wataondoka na ndege kesho.
Yanga itasafiri mkoani humo kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar, siku ya Jumamosi.
Nb:typing error kwenye heading ni kesho na sio kesho kutwa