Manji aliamsha dude; ameahirisha safari ya Yanga kesho kwa gari, watasafiri kwa ndege

Nililiona basi la Yanga Juzi kule Kahama likiwa limepaki barabara kuu ya kwenda Rwanda,na inaonekana lilifika usiku.Je lilisafiri tupu?
 
Ndio ujiniasi wenyewe huo!
 
Kumbe upashkuna unauweza eee?haya tumekusikia tangu lini Simba akamtakia mema yanga.? Pambana na hali yako
 
Utaweweseka sana, Yanga is there to stay
 
Club makao makuu hayana mainswitch wala viti vya kukalia halafu ujifananishe na Zamalek
Huyu jamaa ni wa kupuuzwa, huwa analeta vistory vyake vya kwenye kahawa humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…