Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Simba bila Mo ndio inajiweza?Duh, kumbe yanga bila huyo haijiwezi, ipo hoi ndembe ndembe??
Wewe umenyoooka??hajanyooka Tu?
Kampimeni ch..ko wenu muuza mafutahuyu bado hajatia adabu,akapimwe tena mkojo
Ndio ujiniasi wenyewe huo![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..... Mtani nimekumbuka uliwahi kuwapa matumaini 'mbumbumbu' wenzio humu kuwa point zenu za FIFA zinarejeshwa. Lakini mpaka sasa bado labda zitakuja mwisho wa msimu huu wa ligi... Aah ah, sasa, bandiko linaongelea safari ya Yanga kwa ndege na ikimuhusu Manji, swala la huyo unaesema amefanyiwa kitu Zanzibar limeingiaje hapo?
Mani hayuko hivyo kabisa. Ukweli ni kwamba anaipenda Yanga kupitilizamanji anamuonesha mtu fulani kuwa kama ni hela tu bado ninazo
Kumbe upashkuna unauweza eee?haya tumekusikia tangu lini Simba akamtakia mema yanga.? Pambana na hali yakoHakuna kitu kama hicho wala ukweli wowote hapo ila kinachofanyika sasa ni Yanga ' kujipendekeza ' kwa Manji ili ' kumshawishi ' arejee Yanga na anayefanya / anayeratibu huu ' upuuzi ' wote ni Katibu Mkuu wa Yanga Mkwasa na Mtangazaji wa ' hovyo hovyo ' wa Efm na mwana Yanga ' lia lia ' kabisa Maulid Kitenge.
Kadri uzi huu utakavyokuwa unaendelea mbele nitakuja kuelezea ' kiundani ' kabisa tabia za huyo Kijana Kushoto Kwako pichani ambaye ni ' Komandoo ' wa Yanga SC aitwae Carlos Ze Don kisha ndipo mtajua ni kwaninu huwa anapenda sana ' kujikombakomba ' kwa Manji.
Carlos Ze Don ameacha historia ya aibu sana Visiwani Zanzibar hasa kipindi kile cha mashindano ya Kombe la Mapinduzi ambapo alichofanyiwa na Wazanzibari kilimfanya hadi ' azimie ' kabisa na akawahishwa jijini Dar es Salaam kwa matibabu ' maalum ' na nakumbuka alikaa karibia miezi miwili hatoki ndani na anakwepa Watu.
Ukitaka kujua kama Manji amerudi Yanga au hapana mtafuteni jibu ambalo Nahodha wa ' kulazimisha ' wa Yanga SC Nadir Haroub ' Cannavaro ' kisha awaambieni jibu ambalo Manji alimpa siku ile Kesi yake ikifikia kikomo pale Kisutu ila ninachojua ni kwamba Manji alimwambia Cannavaro kwamba kwa sasa anaomba wamuache kwani ' amechanganyikiwa, amerudishwa nyuma na anataka kujipanga upya kiuchumi ' ila akawaelekeza waende kwa ' Tajiri ' mmoja mwenye Ofisi zake jirani na Benki ya Kizalendo pale Posta ili awasaidie kwa sasa. Na Manji hakumuacha hivi hivi Cannavaro ambapo alimuuliza Swali ambalo lilimfanya Cannavaro ainame chini kwa aibu na kushindwa kulijibu ambapo alimuuliza kwamba inakuwaje wakati wote wa Kesi alikuwa hawaoni pale Kisutu kumuunga mkono ila sasa ameshinda Kesi ndiyo wanajifanya kumkumbuka na kuwa karibu nae?
Wana Yanga mtawadanganya wasio na akili humu ila kwa Sisi Wajanja wa mjini / Watoto wa mjini na tunaojua michezo yote ya hatari na Siasa zetu hizi za Simba na Yanga wala hamuwezi kutupata. Manji wala hana haja tena na Yanga SC na hafikirii tena kuwasaidieni ila semeni tu ukweli kwamba kuna Waziri wenu mmoja wa Wizara ' Nyeti ' ambaye anawapenda Yanga kuliko hata wale Watu ' wasiojulikana ' ndiyo amewashawawishi Marafiki zake kadhaa ' matajiri ' wenye mahaba na Yanga ndipo ' wamejichanga ' jana mchana na leo Timu ikaondoka na Ndege kwenda ' Kufungwa ' huko Kagera na Shinyanga.
Endeleeni kuwadanganya ' wajinga wajinga ' ila Manji ameshajivua rasmi Yanga SC.
Nimemaliza.
Utaweweseka sana, Yanga is there to stayHakuna kitu kama hicho wala ukweli wowote hapo ila kinachofanyika sasa ni Yanga ' kujipendekeza ' kwa Manji ili ' kumshawishi ' arejee Yanga na anayefanya / anayeratibu huu ' upuuzi ' wote ni Katibu Mkuu wa Yanga Mkwasa na Mtangazaji wa ' hovyo hovyo ' wa Efm na mwana Yanga ' lia lia ' kabisa Maulid Kitenge.
Kadri uzi huu utakavyokuwa unaendelea mbele nitakuja kuelezea ' kiundani ' kabisa tabia za huyo Kijana Kushoto Kwako pichani ambaye ni ' Komandoo ' wa Yanga SC aitwae Carlos Ze Don kisha ndipo mtajua ni kwaninu huwa anapenda sana ' kujikombakomba ' kwa Manji.
Carlos Ze Don ameacha historia ya aibu sana Visiwani Zanzibar hasa kipindi kile cha mashindano ya Kombe la Mapinduzi ambapo alichofanyiwa na Wazanzibari kilimfanya hadi ' azimie ' kabisa na akawahishwa jijini Dar es Salaam kwa matibabu ' maalum ' na nakumbuka alikaa karibia miezi miwili hatoki ndani na anakwepa Watu.
Ukitaka kujua kama Manji amerudi Yanga au hapana mtafuteni jibu ambalo Nahodha wa ' kulazimisha ' wa Yanga SC Nadir Haroub ' Cannavaro ' kisha awaambieni jibu ambalo Manji alimpa siku ile Kesi yake ikifikia kikomo pale Kisutu ila ninachojua ni kwamba Manji alimwambia Cannavaro kwamba kwa sasa anaomba wamuache kwani ' amechanganyikiwa, amerudishwa nyuma na anataka kujipanga upya kiuchumi ' ila akawaelekeza waende kwa ' Tajiri ' mmoja mwenye Ofisi zake jirani na Benki ya Kizalendo pale Posta ili awasaidie kwa sasa. Na Manji hakumuacha hivi hivi Cannavaro ambapo alimuuliza Swali ambalo lilimfanya Cannavaro ainame chini kwa aibu na kushindwa kulijibu ambapo alimuuliza kwamba inakuwaje wakati wote wa Kesi alikuwa hawaoni pale Kisutu kumuunga mkono ila sasa ameshinda Kesi ndiyo wanajifanya kumkumbuka na kuwa karibu nae?
Wana Yanga mtawadanganya wasio na akili humu ila kwa Sisi Wajanja wa mjini / Watoto wa mjini na tunaojua michezo yote ya hatari na Siasa zetu hizi za Simba na Yanga wala hamuwezi kutupata. Manji wala hana haja tena na Yanga SC na hafikirii tena kuwasaidieni ila semeni tu ukweli kwamba kuna Waziri wenu mmoja wa Wizara ' Nyeti ' ambaye anawapenda Yanga kuliko hata wale Watu ' wasiojulikana ' ndiyo amewashawawishi Marafiki zake kadhaa ' matajiri ' wenye mahaba na Yanga ndipo ' wamejichanga ' jana mchana na leo Timu ikaondoka na Ndege kwenda ' Kufungwa ' huko Kagera na Shinyanga.
Endeleeni kuwadanganya ' wajinga wajinga ' ila Manji ameshajivua rasmi Yanga SC.
Nimemaliza.
Huyu jamaa ni wa kupuuzwa, huwa analeta vistory vyake vya kwenye kahawa humu.Club makao makuu hayana mainswitch wala viti vya kukalia halafu ujifananishe na Zamalek