Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Nasema hivyi "Manji chapa kaziii" ( In Pombe's voice)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa zinaeleza kuwa Mfanyabiashara Yusuph Manji amesitisha safari ya Yanga kuelekea Kagera kwa njia ya basi, sasa wataondoka na ndege kesho.
Yanga itasafiri mkoani humo kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar, siku ya Jumamosi.
Nb:typing error kwenye heading ni kesho na sio kesho kutwa
![]()
Mkuu ile barua ya FIFA uliyo tuambia imetumwa kupitia DHL vp? tunataka point zetu 3 na ubingwaHakuna kitu kama hicho wala ukweli wowote hapo ila kinachofanyika sasa ni Yanga ' kujipendekeza ' kwa Manji ili ' kumshawishi ' arejee Yanga na anayefanya / anayeratibu huu ' upuuzi ' wote ni Katibu Mkuu wa Yanga Mkwasa na Mtangazaji wa ' hovyo hovyo ' wa Efm na mwana Yanga ' lia lia ' kabisa Maulid Kitenge.
Kadri uzi huu utakavyokuwa unaendelea mbele nitakuja kuelezea ' kiundani ' kabisa tabia za huyo Kijana Kushoto Kwako pichani ambaye ni ' Komandoo ' wa Yanga SC aitwae Carlos Ze Don kisha ndipo mtajua ni kwaninu huwa anapenda sana ' kujikombakomba ' kwa Manji.
Carlos Ze Don ameacha historia ya aibu sana Visiwani Zanzibar hasa kipindi kile cha mashindano ya Kombe la Mapinduzi ambapo alichofanyiwa na Wazanzibari kilimfanya hadi ' azimie ' kabisa na akawahishwa jijini Dar es Salaam kwa matibabu ' maalum ' na nakumbuka alikaa karibia miezi miwili hatoki ndani na anakwepa Watu.
Ukitaka kujua kama Manji amerudi Yanga au hapana mtafuteni jibu ambalo Nahodha wa ' kulazimisha ' wa Yanga SC Nadir Haroub ' Cannavaro ' kisha awaambieni jibu ambalo Manji alimpa siku ile Kesi yake ikifikia kikomo pale Kisutu ila ninachojua ni kwamba Manji alimwambia Cannavaro kwamba kwa sasa anaomba wamuache kwani ' amechanganyikiwa, amerudishwa nyuma na anataka kujipanga upya kiuchumi ' ila akawaelekeza waende kwa ' Tajiri ' mmoja mwenye Ofisi zake jirani na Benki ya Kizalendo pale Posta ili awasaidie kwa sasa. Na Manji hakumuacha hivi hivi Cannavaro ambapo alimuuliza Swali ambalo lilimfanya Cannavaro ainame chini kwa aibu na kushindwa kulijibu ambapo alimuuliza kwamba inakuwaje wakati wote wa Kesi alikuwa hawaoni pale Kisutu kumuunga mkono ila sasa ameshinda Kesi ndiyo wanajifanya kumkumbuka na kuwa karibu nae?
Wana Yanga mtawadanganya wasio na akili humu ila kwa Sisi Wajanja wa mjini / Watoto wa mjini na tunaojua michezo yote ya hatari na Siasa zetu hizi za Simba na Yanga wala hamuwezi kutupata. Manji wala hana haja tena na Yanga SC na hafikirii tena kuwasaidieni ila semeni tu ukweli kwamba kuna Waziri wenu mmoja wa Wizara ' Nyeti ' ambaye anawapenda Yanga kuliko hata wale Watu ' wasiojulikana ' ndiyo amewashawawishi Marafiki zake kadhaa ' matajiri ' wenye mahaba na Yanga ndipo ' wamejichanga ' jana mchana na leo Timu ikaondoka na Ndege kwenda ' Kufungwa ' huko Kagera na Shinyanga.
Endeleeni kuwadanganya ' wajinga wajinga ' ila Manji ameshajivua rasmi Yanga SC.
Nimemaliza.
Manji is back mkuu! ... ...Hakuna kitu kama hicho wala ukweli wowote hapo ila kinachofanyika sasa ni Yanga ' kujipendekeza ' kwa Manji ili ' kumshawishi ' arejee Yanga na anayefanya / anayeratibu huu ' upuuzi ' wote ni Katibu Mkuu wa Yanga Mkwasa na Mtangazaji wa ' hovyo hovyo ' wa Efm na mwana Yanga ' lia lia ' kabisa Maulid Kitenge.
Kadri uzi huu utakavyokuwa unaendelea mbele nitakuja kuelezea ' kiundani ' kabisa tabia za huyo Kijana Kushoto Kwako pichani ambaye ni ' Komandoo ' wa Yanga SC aitwae Carlos Ze Don kisha ndipo mtajua ni kwaninu huwa anapenda sana ' kujikombakomba ' kwa Manji.
Carlos Ze Don ameacha historia ya aibu sana Visiwani Zanzibar hasa kipindi kile cha mashindano ya Kombe la Mapinduzi ambapo alichofanyiwa na Wazanzibari kilimfanya hadi ' azimie ' kabisa na akawahishwa jijini Dar es Salaam kwa matibabu ' maalum ' na nakumbuka alikaa karibia miezi miwili hatoki ndani na anakwepa Watu.
Ukitaka kujua kama Manji amerudi Yanga au hapana mtafuteni jibu ambalo Nahodha wa ' kulazimisha ' wa Yanga SC Nadir Haroub ' Cannavaro ' kisha awaambieni jibu ambalo Manji alimpa siku ile Kesi yake ikifikia kikomo pale Kisutu ila ninachojua ni kwamba Manji alimwambia Cannavaro kwamba kwa sasa anaomba wamuache kwani ' amechanganyikiwa, amerudishwa nyuma na anataka kujipanga upya kiuchumi ' ila akawaelekeza waende kwa ' Tajiri ' mmoja mwenye Ofisi zake jirani na Benki ya Kizalendo pale Posta ili awasaidie kwa sasa. Na Manji hakumuacha hivi hivi Cannavaro ambapo alimuuliza Swali ambalo lilimfanya Cannavaro ainame chini kwa aibu na kushindwa kulijibu ambapo alimuuliza kwamba inakuwaje wakati wote wa Kesi alikuwa hawaoni pale Kisutu kumuunga mkono ila sasa ameshinda Kesi ndiyo wanajifanya kumkumbuka na kuwa karibu nae?
Wana Yanga mtawadanganya wasio na akili humu ila kwa Sisi Wajanja wa mjini / Watoto wa mjini na tunaojua michezo yote ya hatari na Siasa zetu hizi za Simba na Yanga wala hamuwezi kutupata. Manji wala hana haja tena na Yanga SC na hafikirii tena kuwasaidieni ila semeni tu ukweli kwamba kuna Waziri wenu mmoja wa Wizara ' Nyeti ' ambaye anawapenda Yanga kuliko hata wale Watu ' wasiojulikana ' ndiyo amewashawawishi Marafiki zake kadhaa ' matajiri ' wenye mahaba na Yanga ndipo ' wamejichanga ' jana mchana na leo Timu ikaondoka na Ndege kwenda ' Kufungwa ' huko Kagera na Shinyanga.
Endeleeni kuwadanganya ' wajinga wajinga ' ila Manji ameshajivua rasmi Yanga SC.
Nimemaliza.
Tembo hata akikonda hawezi kua kama ndama.hajanyooka Tu?
Mkuu ile barua ya FIFA uliyo tuambia imetumwa kupitia DHL vp? tunataka point zetu 3 na ubingwa
Hivi unafahamu surerity wa dhamana ya Manji au unaonge ongea tuu?Hakuna kitu kama hicho wala ukweli wowote hapo ila kinachofanyika sasa ni Yanga ' kujipendekeza ' kwa Manji ili ' kumshawishi ' arejee Yanga na anayefanya / anayeratibu huu ' upuuzi ' wote ni Katibu Mkuu wa Yanga Mkwasa na Mtangazaji wa ' hovyo hovyo ' wa Efm na mwana Yanga ' lia lia ' kabisa Maulid Kitenge.
Kadri uzi huu utakavyokuwa unaendelea mbele nitakuja kuelezea ' kiundani ' kabisa tabia za huyo Kijana Kushoto Kwako pichani ambaye ni ' Komandoo ' wa Yanga SC aitwae Carlos Ze Don kisha ndipo mtajua ni kwaninu huwa anapenda sana ' kujikombakomba ' kwa Manji.
Carlos Ze Don ameacha historia ya aibu sana Visiwani Zanzibar hasa kipindi kile cha mashindano ya Kombe la Mapinduzi ambapo alichofanyiwa na Wazanzibari kilimfanya hadi ' azimie ' kabisa na akawahishwa jijini Dar es Salaam kwa matibabu ' maalum ' na nakumbuka alikaa karibia miezi miwili hatoki ndani na anakwepa Watu.
Ukitaka kujua kama Manji amerudi Yanga au hapana mtafuteni jibu ambalo Nahodha wa ' kulazimisha ' wa Yanga SC Nadir Haroub ' Cannavaro ' kisha awaambieni jibu ambalo Manji alimpa siku ile Kesi yake ikifikia kikomo pale Kisutu ila ninachojua ni kwamba Manji alimwambia Cannavaro kwamba kwa sasa anaomba wamuache kwani ' amechanganyikiwa, amerudishwa nyuma na anataka kujipanga upya kiuchumi ' ila akawaelekeza waende kwa ' Tajiri ' mmoja mwenye Ofisi zake jirani na Benki ya Kizalendo pale Posta ili awasaidie kwa sasa. Na Manji hakumuacha hivi hivi Cannavaro ambapo alimuuliza Swali ambalo lilimfanya Cannavaro ainame chini kwa aibu na kushindwa kulijibu ambapo alimuuliza kwamba inakuwaje wakati wote wa Kesi alikuwa hawaoni pale Kisutu kumuunga mkono ila sasa ameshinda Kesi ndiyo wanajifanya kumkumbuka na kuwa karibu nae?
Wana Yanga mtawadanganya wasio na akili humu ila kwa Sisi Wajanja wa mjini / Watoto wa mjini na tunaojua michezo yote ya hatari na Siasa zetu hizi za Simba na Yanga wala hamuwezi kutupata. Manji wala hana haja tena na Yanga SC na hafikirii tena kuwasaidieni ila semeni tu ukweli kwamba kuna Waziri wenu mmoja wa Wizara ' Nyeti ' ambaye anawapenda Yanga kuliko hata wale Watu ' wasiojulikana ' ndiyo amewashawawishi Marafiki zake kadhaa ' matajiri ' wenye mahaba na Yanga ndipo ' wamejichanga ' jana mchana na leo Timu ikaondoka na Ndege kwenda ' Kufungwa ' huko Kagera na Shinyanga.
Endeleeni kuwadanganya ' wajinga wajinga ' ila Manji ameshajivua rasmi Yanga SC.
Nimemaliza.
Mkuu, akikujibu nishtue..Mkuu ile barua ya FIFA uliyo tuambia imetumwa kupitia DHL vp? tunataka point zetu 3 na ubingwa
tutakuamini vp tena kma kule kwenye DHL uli tuingiza chaka?Acha Ujinga / Ungumbaru suala lililopo mezani sasa ni hili la Manji kurudi na kuisaidia Yanga SC na jinsi linavyopotoshwa na akina Mkwasa na Kitenge kwa ' maslahi ' yao na ' kujipendekeza ' Kwao Kwake.
ana ruka ruka kma churaMkuu, akikujibu nishtue..
Manji is back mkuu! ... ...
Mchakato wa hisa unaendeleaje?Endelea ' Kudanganywa ' na ' Kudanganyika ' hivyo hivyo. We hushangai na hujiulizi swali kuwa Mimi ni mwana Msimbazi tena wa ' Kindakindaki ' kabisa lakini nayajua ya ndani kabisa ya Yanga SC kuliko hata Wewe na hao Yanga wenzako? Mtafute Nahodha Nadiri Haroub ' Cannavaro ' atakupa zaidi ya haya niliyoyaweka hapa na asipokuambia au akikukwepa rudi tena hapa Kwangu nikuelekeze mahala pengine ambapo utapata ' taarifa ' sahihi kabisa.
tutakuamini vp tena kma kule kwenye DHL uli tuingiza chaka?
Jibu hoja,mkuu Gentamycene,acha kutapa tapa
Naona vyuma vimekaza.Na ndiyo maana ' matahaira ' wengi wanaopatikana nchini Tanzania wana Mapenzi / Ushabiki na Yanga SC. Simba SC kumejaa ' Majiniasi ' tupu na ndiyo maana unaona sasa tunaenda vizuri na karibia tu na Sisi tutakuwa kama TP Mazembe au Liverpool FC au FC Barcelona au AC Milan au PSG au Kaizer Chiefs au Asante Kotoko au Canon Sports au Enyimba FC au Zamaleck FC ' Kimaendeleo ' na kuwaacheni nyie mkijikombakomba kwa ' Panjuani ' Manji.
Mmi ni shabiki wa Simba. Ila sijapenda ulichoandika kuhusu Manji kunyooka kwake kunakuhusu nini weww kwahiyo ulifurahia dhuluma yake alivyokuwa anateseka bila hatia! Acha ujinga wewehajanyooka Tu?