mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Kwanza kabisa declare interest mimi ni bush lawyer ,ila hainizuii kunifikirisha kwenye scenario ambayo tumeambiwa jana na mahakama kupitia vyombo vya habari mbalimbali (Azam,Itv etc,social media) upande wa evidence
1.Kwanza zile results za mkemia hazina signature ya mwenyekiti wa yanga (nakumbuka Tindu Lissu alisema ikishindikana sana wakikulazimisha kupima usisaini)
2.Kemikali ambayo imeonekana kwenye report ni Benzodiazepines na sio heroin ambayo mashitaka yana accuse however inawezekana chemical ikawa zao la heroin
3.Benzodiazepines (benzos) zinapatikana pharmacy na unaweza ukaandikiwa na dakatari kwa indications za kitabibu kama insomnia (kukosa usingizi) ,seizures (convulsions au degedege) ,alcohol withdrawal, generalised anxiety disorder (stress au woga au stress quencher)
3.Mazingira ya ushahidi ulivyochukuliwa yana utata kwa mujibu wa muwakilishi wa mkemia "askari waliingia na Manji toilet" what if urine iliyo iliyoletwa ilikua ya afande? au waliifanyia switching? ( kumbuka hii ni case ya jinai)
Nakumbuka mwalimu wangu wa "chemistry" aliniambia criminal case -Judgment has to be done in benefit of the accused (benefit of doubt) na tukiweka kumbukumbu sawa tunayakumbuka mazingira ya mwanzo wa case
Ni muda sasa wa upande wa Jamhuri kuonyesha kuwa hakuna wingu la shaka
Nawasilisha lengo langu sio ku pre-empty court decisions ndio maana uzi huu umepanda mara baada yakusikia muondelezo wa mashitaka jana .
Ma bush lawyer wenzangu to discuss
Simba oyeeeee,nadhani mwenyekiti wao atakua amepata funzo pia kwa yeye mwenyewe na kizazi chake