Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
yahifadhi maneno yako,yawe hivihivi baada ya manji kutoka

Madaraka ya kulevya
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Samahani, unazungumzia serikali gani vile? unajua ni kesi ngapi serikali imepigwa za macho? tena vikesi vingine vya kitoto kabisa wala havikuwa na haja ya kuvipeleka mahakamani. alafu unasema wanajirizisha kwanza.
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Hakuna kesi hapo ni kupotezeana muda na visasi visivyo na msingi.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
- Haya maelezo yanatakiwa mahakamani sio huku, hii sio siasa kumbuka Manji yupo rumande mnapoandika hivi mnawachkonoa wanasiasa sijui kama mnamsaidia Manji, cause mtu yoyote mwenye akili kubwa kama mimi ukisoma hii unajua kabisa kuwa imeandikwa na mtu wenye sababu maalum behind it, jamani hii Serikali sio ile ya zamani!!

le Mutuz
Ukubwa wa mwili hauna uhusiano na ukubwa wa akili babu yangu, mara nyingi umekuwa unajisifu kuwa wewe ni akili kubwa kumbe si lolote wala si chochote, umeshindwa hata na watoto wadogo waliopewa uongozi kwenye chama na serikali, wewe pamoja na kuwa mtoto wa kigogo lakini hakuna anayekuamini hata kusimamia foleni ya watoto ya chakula.
stock-photo-a-bearded-old-man-shows-a-hand-something-small-big-332468792.jpg
 
Resources zilizotumika kumthibiti Manji zingesaidia sana maeneo mengine yenye uhitaji
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Kweli kabisa mkuu, ndiyo maana serikali uwa haishindwi kesi hata moja!!!!!!!!!!!!!!! Bombadier kushilikiliwa ni wivu tu wala siyo maswala ya kushindwa kesi!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom