Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?


- Haya maelezo yanatakiwa mahakamani sio huku, hii sio siasa kumbuka Manji yupo rumande mnapoandika hivi mnawachkonoa wanasiasa sijui kama mnamsaidia Manji, cause mtu yoyote mwenye akili kubwa kama mimi ukisoma hii unajua kabisa kuwa imeandikwa na mtu wenye sababu maalum behind it, jamani hii Serikali sio ile ya zamani!!

le Mutuz
 
Hii ni Contempt of Court. Bush lawyer sasa sio wakati wa mazungumzo haya .
Lengo nadhani sio kumfunga Manji kwa kutumia dawa za Kulevya ila ni kuwatisha hawa matajiri wanaoharibiwa na wauza dawa za kulevya kuacha kununua na kujidunga kwani zinawaharibu na wapo wengi. Kesi atalipa tu fine lakini atakuwa amejifunza kuacha kula madawa kwa faida yake na kizazi chake. wauzaji madawa ni wauaji.

kwa kesi hii ya aliyekuwa Rais wa watani zangu wa jadi kwa kweli namuhurumia sana Manji. Kijana mdogo lakini wamemuingiza kwenye madudu ya dawa. binaadam wabaya jamani. Mungu tuhurumie na utusamehe sisi na vizazi vyetu tuepushe na mtihani huu wa madawa ya kulevya unaomsibu Manji.

Pia usimwache Manji peke yake msaidie avuke salama na aachane na madawa ya kulevya. Wapige dafrau wauzaji wote wa madawa kwani ni wauaji. Amen
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
upo dunia ya wapi wewe serikali hii imewahi kushinda lini case ilizozifungua yenyewe MPK MASAMAKI WAMEMSHINDWA SEMBUSE HAWA WENGINE AMBAO WANASHITAKIWA KWA MATAKWA YA WACHACHE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu ambacho kimeongezeka hapa kaka mkubwa vyombo vya habari jana vili report hivi kuanzia itv,Azam etc au walifanya makosa kutumegemea sisi watu wa huku sumbawanga?
 
Hakuna kitu ambacho kimeongezeka hapa kaka mkubwa vyombo vya habari jana vili report hivi kuanzia itv,Azam etc au walifanya makosa kutumegemea sisi watu wa huku sumbawanga?

- Unzao akili na umenielewa that is all that is important!, mengine baki nayo tu!

le Mutuz
 
Hakuna kesi pale Bali ni as usual kwa style ya serikali ya awamu ya 5 ya kukomoana na kuendekeza visasi.......

Hivi jiulize ni kitu gani kilimuweka Mbunge Godbless Lema rumande kwa miezi 4 kwa tuhuma ambazo zilikuwa zinadhaminika?

Yaani tuna Mkulu ambaye he wishes to be in every position.

He wishes to be IGP.....

He wishes to be CJ.......

He wishes to be in every big position in his government.....

Na ndiyo maana majuzi tulimsikia akitamka yeye mwenyewe kuwa hataki kusafiri kwenda nje kwa kuwa anajua akisafiri wasaidizi wake atakaowaachia nchi watapiga dili!

Hivi ina maana President wetu hawaamini hata VP na PM wake?
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Serikali ipi unayoikusudia hapa!
Je ni hii hii iliyovunja mkataba na ile kampuni ya kanada?
 
Simba Oyeeeeeeeee
 
Akatae kuwa mimi sikutoa mkojo,



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…