Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Wewe ndo uache kuota ndoto.. mara ngapi serikali inafungua kesi kutuhumu watu na inang'ang'ana lakini wanakuwa hawana evidence za maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
yahifadhi maneno yako,yawe hivihivi baada ya manji kutoka

Madaraka ya kulevya
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Samahani, unazungumzia serikali gani vile? unajua ni kesi ngapi serikali imepigwa za macho? tena vikesi vingine vya kitoto kabisa wala havikuwa na haja ya kuvipeleka mahakamani. alafu unasema wanajirizisha kwanza.
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Hakuna kesi hapo ni kupotezeana muda na visasi visivyo na msingi.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Mtoa uzi unauliza swali au unatutaarifu?????
 
Ukubwa wa mwili hauna uhusiano na ukubwa wa akili babu yangu, mara nyingi umekuwa unajisifu kuwa wewe ni akili kubwa kumbe si lolote wala si chochote, umeshindwa hata na watoto wadogo waliopewa uongozi kwenye chama na serikali, wewe pamoja na kuwa mtoto wa kigogo lakini hakuna anayekuamini hata kusimamia foleni ya watoto ya chakula.
 
Resources zilizotumika kumthibiti Manji zingesaidia sana maeneo mengine yenye uhitaji
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Kweli kabisa mkuu, ndiyo maana serikali uwa haishindwi kesi hata moja!!!!!!!!!!!!!!! Bombadier kushilikiliwa ni wivu tu wala siyo maswala ya kushindwa kesi!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…