Na wasiwasi na hii conclusion yako.acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wasiwasi na hii conclusion yako.acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Una matatizo- Haya maelezo yanatakiwa mahakamani sio huku, hii sio siasa kumbuka Manji yupo rumande mnapoandika hivi mnawachkonoa wanasiasa sijui kama mnamsaidia Manji, cause mtu yoyote mwenye akili kubwa kama mimi ukisoma hii unajua kabisa kuwa imeandikwa na mtu wenye sababu maalum behind it, jamani hii Serikali sio ile ya zamani!!
le Mutuz
Hakuwepo shahidi/wakala wa upande wa mtuhumiwa wakati sampuli ( mkojo ) unachukuliwa hadi kupelekwa kwa mkemiaKwani walikojoleana askari na mtuhumiwa?
Kesi ya Manji ni ya uzushi tu.Kwanza kabisa declare interest mimi ni bush lawyer ,ila hainizuii kunifikirisha kwenye scenario ambayo tumeambiwa jana na mahakama kupitia vyombo vya habari mbalimbali (Azam,Itv etc,social media) upande wa evidence
1.Kwanza zile results za mkemia hazina signature ya mwenyekiti wa yanga (nakumbuka Tindu Lissu alisema ikishindikana sana wakikulazimisha kupima usisaini)
2.Kemikali ambayo imeonekana kwenye report ni Benzodiazepines na sio heroin ambayo mashitaka yana accuse however inawezekana chemical ikawa zao la heroin
3.Benzodiazepines (benzos) zinapatikana pharmacy na unaweza ukaandikiwa na dakatari kwa indications za kitabibu kama insomnia (kukosa usingizi) ,seizures (convulsions au degedege) ,alcohol withdrawal, generalised anxiety disorder (stress au woga au stress quencher)
3.Mazingira ya ushahidi ulivyochukuliwa yana utata kwa mujibu wa muwakilishi wa mkemia "askari waliingia na Manji toilet" what if urine iliyo iliyoletwa ilikua ya afande? au waliifanyia switching? ( kumbuka hii ni case ya jinai)
Nakumbuka mwalimu wangu wa "chemistry" aliniambia criminal case -Judgment has to be done in benefit of the accused (benefit of doubt) na tukiweka kumbukumbu sawa tunayakumbuka mazingira ya mwanzo wa case
Ni muda sasa wa upande wa Jamhuri kuonyesha kuwa hakuna wingu la shaka
Nawasilisha lengo langu sio ku pre-empty court decisions ndio maana uzi huu umepanda mara baada yakusikia muondelezo wa mashitaka jana .
Ma bush lawyer wenzangu to discuss
Simba oyeeeee,nadhani mwenyekiti wao atakua amepata funzo pia kwa yeye mwenyewe na kizazi chake
Siyo kwetu hapa.acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Kwan hzo kesi wanazoshindwaga siku zote huwaga wanajiridhisha maridhisho hewaa!!??acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Mnyama OGwana Yanga naona mmejawa na hasira za jana. unajua manji angekuwa uraiani mngeshinda jana. halafu hata hamjamsaidia lolote tajiri yetu anahangaika peke yake tu. urafiki wenu upo tu uwanjani ila kwenye matatizo mnajifanya hammjui. poleni kwa kipigo cha jana hata hivyo niny ndala yeboyebo!
Ukumbuke ana kesi 2, ya pili ndo iliyomweka keko,hii ya kwanza ya Madawa ya kulevya alishapata dhamana.Si muda mrefu tutakuwa nae uraiani
Wote waliingia chooni.Kwani walikojoleana askari na mtuhumiwa?
Si kweli.acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Mahakama ndo itakuwa imemsafisha kuwa HANA HATIAHivi akishinda watamsafishaje?????
TobaaaaaKwani walikojoleana askari na mtuhumiwa?
Sidhani.Napata shaka kama kwenye matatizo ya manj hakuna elements za u simba na uyanga
Usiwanyime watu uhuru wa kujadili,mahakama itatoa hukumu kwa facts na si maelezo ya JF.- Haya maelezo yanatakiwa mahakamani sio huku, hii sio siasa kumbuka Manji yupo rumande mnapoandika hivi mnawachkonoa wanasiasa sijui kama mnamsaidia Manji, cause mtu yoyote mwenye akili kubwa kama mimi ukisoma hii unajua kabisa kuwa imeandikwa na mtu wenye sababu maalum behind it, jamani hii Serikali sio ile ya zamani!!
le Mutuz
Alipe fine vipi na aina ya dawa alokutwa nayo inasemwa hata pharmacy zinapatikana.Subir mahakama isemeLengo nadhani sio kumfunga Manji kwa kutumia dawa za Kulevya ila ni kuwatisha hawa matajiri wanaoharibiwa na wauza dawa za kulevya kuacha kununua na kujidunga kwani zinawaharibu na wapo wengi. Kesi atalipa tu fine lakini atakuwa amejifunza kuacha kula madawa kwa faida yake na kizazi chake. wauzaji madawa ni wauaji.
kwa kesi hii ya aliyekuwa Rais wa watani zangu wa jadi kwa kweli namuhurumia sana Manji. Kijana mdogo lakini wamemuingiza kwenye madudu ya dawa. binaadam wabaya jamani. Mungu tuhurumie na utusamehe sisi na vizazi vyetu tuepushe na mtihani huu wa madawa ya kulevya unaomsibu Manji.
Pia usimwache Manji peke yake msaidie avuke salama na aachane na madawa ya kulevya. Wapige dafrau wauzaji wote wa madawa kwani ni wauaji. Amen
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Hata akishinda lakini adabu atakuwa ameipata! Alikuwa ana dharau sana huyu mhindiKwan hzo kesi wanazoshindwaga siku zote huwaga wanajiridhisha maridhisho hewaa!!??
For ur information 70% ya kesi dhidi ya jamhuri... Jamhuri hushindwa...
Swala sio jamhuri kung'ang'ania wala nn mawakili wa serikali wengi wao ni mabashite na wananunulika kirahisi hvyo usitegemee mtu kama manji kushindwa kesi dhidi ya jamhuri
Huyu Tundu Lissu anawapotosha sana ma bush lawyer kama wewe,kukataa kusaini hakuondoi tuhuma au kuupoteza huo ushahidi1.Kwanza zile results za mkemia hazina signature ya mwenyekiti wa yanga (nakumbuka Tindu Lissu alisema ikishindikana sana wakikulazimisha kupima usisaini)