Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Na wasiwasi na hii conclusion yako.
 
Una matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesi ya Manji ni ya uzushi tu.

Wamemzushia kwa sababu katumia hela zake kuwafadhili rafiki zake walio wapinzani. Hilo ndilo kosa lake.

Habari za madawa ni geresha za kitoto tu hizo.
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Siyo kwetu hapa.
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Kwan hzo kesi wanazoshindwaga siku zote huwaga wanajiridhisha maridhisho hewaa!!??
For ur information 70% ya kesi dhidi ya jamhuri... Jamhuri hushindwa...
Swala sio jamhuri kung'ang'ania wala nn mawakili wa serikali wengi wao ni mabashite na wananunulika kirahisi hvyo usitegemee mtu kama manji kushindwa kesi dhidi ya jamhuri
 
Mnyama OG
 
Si muda mrefu tutakuwa nae uraiani
Ukumbuke ana kesi 2, ya pili ndo iliyomweka keko,hii ya kwanza ya Madawa ya kulevya alishapata dhamana.

May Allah bless Me and You
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Si kweli.
Rejea kesi ya MASAMAKI,aliyekuwa mkurugenzi wa Tanesco na wengine wengi ambao walishtakiwa na mwishowe dola ikachemka

May Allah bless Me and You
 
Napata shaka kama kwenye matatizo ya manj hakuna elements za u simba na uyanga
Sidhani.
Maana hadi bosi wa TFF yupo huko,ukiacha rais na makamo wa rais wa simba

May Allah bless Me and You
 
Usiwanyime watu uhuru wa kujadili,mahakama itatoa hukumu kwa facts na si maelezo ya JF.

May Allah bless Me and You
 
Alipe fine vipi na aina ya dawa alokutwa nayo inasemwa hata pharmacy zinapatikana.Subir mahakama iseme

May Allah bless Me and You
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.

Unazungumzia Serikali hii inayokurupuka kila siku kufungua kesi pasipokujua sheria zilizokiukwa?
Kweli kupenda chongo, utasema kengeza!
 
Hata akishinda lakini adabu atakuwa ameipata! Alikuwa ana dharau sana huyu mhindi
 
1.Kwanza zile results za mkemia hazina signature ya mwenyekiti wa yanga (nakumbuka Tindu Lissu alisema ikishindikana sana wakikulazimisha kupima usisaini)
Huyu Tundu Lissu anawapotosha sana ma bush lawyer kama wewe,kukataa kusaini hakuondoi tuhuma au kuupoteza huo ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…