hizo shule zinaitwaje?
imewekwa hivyo kusadifu mdaiwa (Komba) ambaye kitaaluma ni muimba taarab (mipasho).
Mkuu inaonyesha hata ww sio mdau wa sheria au km ni mdau basi mzembe coz umeshindwa kufahamu kuwa kesi ya madai inamfunga mtu...NOTE. Kesi ya madai mdaiwa anafungwa na mdai anatakiwa kumlipia mdaiwa gharama za matumizi pindi atakapokua jela...
achana na bush lawyer huyo, kuna jamaa yangu amefungwa miaka 3 ukonga na akaambiwa akimaliza kifungo alipe deni.
Hizi ni zile za Kagoda-EPA alizokopeshwa na Rostam na Kagoda haijarudisha pesa mpaka leo BOTSakata la mali za John Komba kupigwa mnada kufuatia deni la Tsh bilion 1.2 analodaiwa na benki ya CRDB limefikia tamati baada ya mfanyabiashara nguli na Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Bw Yusuf Manji, kununua shule na baadhi ya mali zake zote ambazo zilikuwa zipigwe mnada ili kufidia deni.
Komba alikuwa anakabiliwa na uwezekano wa shule zake kupigwa mnada (na kufungwa jela) ili kufidia deni hilo alilokopa CRDB miaka 5 iliyopita.
Source: Mwananchi.
MAONI YANGU
Komba amshukuru sana Manji kwa kumuokoa kwenda jela na kupigwa mnada kwa mali zake. Sipati picha kama Komba angefungwa jela kile kitambi chake angekificha wapi. Lazima kingenywea kama puto lililotoboka. Hivi alidhani kuendesha shule ni sawa na kuimba kwaya na kusimamia bendi? Chezea mkopo wewe!
achana na bush lawyer huyo, kuna jamaa yangu amefungwa miaka 3 ukonga na akaambiwa akimaliza kifungo alipe deni.
Haswa hata nyumba ya Mtikila mikocheni ilikua iuzwe na NBC wahindi wakanunua na kumrudishia MTIKILA kuanzia hapo mtikila hakusema tena neno G.A.B.A.C.H.O.L.Isintashangaa baadae shule zikakabidhiwa ccm au akarudishiwa komba si mnakumbuka momose cheyo naye alikopa benki nyumba ikapigwa mnada akanunua manji lakini baadae mzee ben akamuagiza manji amrudishie cheyo na akairidisha toka muda huo cheyo mtiifu kwa ccm vilevile ccm haiwezi kusahau kirahisi fadhila za komba na msishangae komba akatoa wimbo wa kampeni muda si mrefu na akalazimishwa kuifufua na kuitumikia bendi ya chama
Amshukuru Lulu kwa kuongea na Manji.
Ni sheria gani inayoruhusu mdaiwa kufungwa?
Jamani mimi sijaelewa vizuri hapa mnaposema Manji amemuokoa Komba ni katika misingi ipi?
Kama shule ndo hivyo imeshakwenda na Manji the same as ingekwenda na CRDB, au bei aliyopewa na Manji ni kubwa kuliko deni la CRDB hivyo anabaki na chenji? Hebu nielewesheni ameokoka vipi?
Ina maana hata na yule kabinti Lulu amechukuliwa na Yusuph Manji.......ha ha ha ha ha ha ha! mkopo nooma kwel kwel na kwann huyu manji amemuokoa huyu mr. michepuo si angemuacha tu akapigwe mvuaSakata la mali za John Komba kupigwa mnada kufuatia deni la Tsh bilion 1.2 analodaiwa na benki ya CRDB limefikia tamati baada ya mfanyabiashara nguli na Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Bw Yusuf Manji, kununua shule na baadhi ya mali zake zote ambazo zilikuwa zipigwe mnada ili kufidia deni.
Komba alikuwa anakabiliwa na uwezekano wa shule zake kupigwa mnada (na kufungwa jela) ili kufidia deni hilo alilokopa CRDB miaka 5 iliyopita.
Source: Mwananchi.
MAONI YANGU
Komba amshukuru sana Manji kwa kumuokoa kwenda jela na kupigwa mnada kwa mali zake. Sipati picha kama Komba angefungwa jela kile kitambi chake angekificha wapi. Lazima kingenywea kama puto lililotoboka. Hivi alidhani kuendesha shule ni sawa na kuimba kwaya na kusimamia bendi? Chezea mkopo wewe!
Jamani kama mtu hujui sheria ni vizuri ukaepuka ku-comment kisheria. Tangu lini kesi ya madai ikampeleka mtu jela.
Yusuf Manji naye ni fisadi vile vile. Utajiri wake kaupata kutokana kufisadi mashirika ya umma akishirikiana na ccm. Kumbuka ccm kwa aibu walimkatalia kugombea ubunge jimbo la Kigamboni kwa sababu hiyo!
Kwa hiyo Manji lazima ameshurutishwa na ccm kumuokoa Komba