Manji amuokoa Komba, anunua shule zake

Manji amuokoa Komba, anunua shule zake

Mkuu inaonyesha hata ww sio mdau wa sheria au km ni mdau basi mzembe coz umeshindwa kufahamu kuwa kesi ya madai inamfunga mtu...NOTE. Kesi ya madai mdaiwa anafungwa na mdai anatakiwa kumlipia mdaiwa gharama za matumizi pindi atakapokua jela...

achana na bush lawyer huyo, kuna jamaa yangu amefungwa miaka 3 ukonga na akaambiwa akimaliza kifungo alipe deni.
 
Wangemuuza na huyo komba mimi ningemnunua, najua ningemtumia namna gani, mdebi anafungwa kama kawa,jamaa yangu kaenda jela miaka miwili barabara kwa deni la m2
 
achana na bush lawyer huyo, kuna jamaa yangu amefungwa miaka 3 ukonga na akaambiwa akimaliza kifungo alipe deni.

labda alijipatia mali kwa njia ya udanganyifu kwa ushauri angekata rufaa coz deni ni dai sio jinai but inategemea na facts coz zinaweza kuwa na element ya crime na on top of that kifungo ya kinachotokana na madai hakizidi miezi sita ila maumivu yakizidi nenda kwa mwanasheria
 
Sakata la mali za John Komba kupigwa mnada kufuatia deni la Tsh bilion 1.2 analodaiwa na benki ya CRDB limefikia tamati baada ya mfanyabiashara nguli na Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Bw Yusuf Manji, kununua shule na baadhi ya mali zake zote ambazo zilikuwa zipigwe mnada ili kufidia deni.

Komba alikuwa anakabiliwa na uwezekano wa shule zake kupigwa mnada (na kufungwa jela) ili kufidia deni hilo alilokopa CRDB miaka 5 iliyopita.

Source: Mwananchi.

MAONI YANGU
Komba amshukuru sana Manji kwa kumuokoa kwenda jela na kupigwa mnada kwa mali zake. Sipati picha kama Komba angefungwa jela kile kitambi chake angekificha wapi. Lazima kingenywea kama puto lililotoboka. Hivi alidhani kuendesha shule ni sawa na kuimba kwaya na kusimamia bendi? Chezea mkopo wewe!
Hizi ni zile za Kagoda-EPA alizokopeshwa na Rostam na Kagoda haijarudisha pesa mpaka leo BOT
 
achana na bush lawyer huyo, kuna jamaa yangu amefungwa miaka 3 ukonga na akaambiwa akimaliza kifungo alipe deni.

Yap that true tena usiombee akufunge coz Wenyewe wanaozijua sheria wanakwambia at the end of the day bill of cost zinaitwa nazani kama sijakosea unapaswa kuzilipa zote....so nia au kusudio la kukufunga ni kukutikisa hata kama unakahela kako ka ngama au kuna ndugu na jamaa wapo wenye uwezo wajichange waweze kukusaidia either kulipa deni but haimaanishi ukifungwa eti ukitoka deni nalo limeisha bali deni lipo palepale...coz mimi mwenyewe nilitaka kumtia ndani aunt yangu amenidhulumu hela yangu nyingi na process zote nikawa nimekamilisha mahakamani but wanandugu ikabidi waokoe jahazi sio kwa kumlipia deni but tulikaa na kulizungumza
 
sintashangaa baadae shule zikakabidhiwa ccm au akarudishiwa komba si mnakumbuka momose cheyo naye alikopa benki nyumba ikapigwa mnada akanunua manji lakini baadae mzee ben akamuagiza manji amrudishie cheyo na akairidisha toka muda huo cheyo mtiifu kwa ccm vilevile ccm haiwezi kusahau kirahisi fadhila za komba na msishangae komba akatoa wimbo wa kampeni muda si mrefu na akalazimishwa kuifufua na kuitumikia bendi ya chama
Haswa hata nyumba ya Mtikila mikocheni ilikua iuzwe na NBC wahindi wakanunua na kumrudishia MTIKILA kuanzia hapo mtikila hakusema tena neno G.A.B.A.C.H.O.L.I
 
Jamani mimi sijaelewa vizuri hapa mnaposema Manji amemuokoa Komba ni katika misingi ipi?

Kama shule ndo hivyo imeshakwenda na Manji the same as ingekwenda na CRDB, au bei aliyopewa na Manji ni kubwa kuliko deni la CRDB hivyo anabaki na chenji? Hebu nielewesheni ameokoka vipi?

thamani ya shule ni ndogo kuliko fedha anazodaiwa lakini Manji kamlipia deni lake lote (Tsh 1.2 bilion) halafu Komba atakuwa anamlipa kidogo kidogo kutokana na posho za ubunge na vikao.
 
Sakata la mali za John Komba kupigwa mnada kufuatia deni la Tsh bilion 1.2 analodaiwa na benki ya CRDB limefikia tamati baada ya mfanyabiashara nguli na Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Bw Yusuf Manji, kununua shule na baadhi ya mali zake zote ambazo zilikuwa zipigwe mnada ili kufidia deni.

Komba alikuwa anakabiliwa na uwezekano wa shule zake kupigwa mnada (na kufungwa jela) ili kufidia deni hilo alilokopa CRDB miaka 5 iliyopita.

Source: Mwananchi.

MAONI YANGU
Komba amshukuru sana Manji kwa kumuokoa kwenda jela na kupigwa mnada kwa mali zake. Sipati picha kama Komba angefungwa jela kile kitambi chake angekificha wapi. Lazima kingenywea kama puto lililotoboka. Hivi alidhani kuendesha shule ni sawa na kuimba kwaya na kusimamia bendi? Chezea mkopo wewe!
Ina maana hata na yule kabinti Lulu amechukuliwa na Yusuph Manji.......ha ha ha ha ha ha ha! mkopo nooma kwel kwel na kwann huyu manji amemuokoa huyu mr. michepuo si angemuacha tu akapigwe mvua
 
angeenda msituni yasingemkuta haya!

ni kweli--hii kadhia yote inayompata ni kwa sababu kaghairi kwenda mwituni, wala yasingemkuta haya yote.
 
[QUOTE=BONGOLALA;10101426.... Kagoda-EPA alizokopeshwa Rostam na Kagoda haijarudisha BOT[/ Kalasinga PAP atamlipa manji
 
Jamani kama mtu hujui sheria ni vizuri ukaepuka ku-comment kisheria. Tangu lini kesi ya madai ikampeleka mtu jela.

Wewe mpuuzi ndiye ulipswa ukae kimya. Kwa taarifa yako kesi ya madai inampeleka mtu jela as civil prisoner. Inaelekea huelewi hata "civil prisoner" inamaanisha nini, wewe bush lawyer! Aibu kwako mtoto wa fisadi
 
Manji amenunua shue au eneo? Zipo wapi hizi shule? Akili ya kawaida inanishawishi kuamin kwamba hizo shule si salama tena kupeleka watoto... Manji ni Real Estate Developer, isije ikawa ameona eneo zilipo shule ni potential kwahiyo keshapiga mahesabu ya kuporomosha mijengo hapo....
 
Back
Top Bottom