Manji amuokoa Komba, anunua shule zake

Manji amuokoa Komba, anunua shule zake

Sakata la mali za John Komba kupigwa mnada kufuatia deni la Tsh bilion 1.2 analodaiwa na benki ya CRDB limefikia tamati baada ya mfanyabiashara nguli na Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Bw Yusuf Manji, kununua shule na baadhi ya mali zake zote ambazo zilikuwa zipigwe mnada ili kufidia deni.

Komba alikuwa anakabiliwa na uwezekano wa shule zake kupigwa mnada (na kufungwa jela) ili kufidia deni hilo alilokopa CRDB miaka 5 iliyopita.

Source: Mwananchi.

MAONI YANGU
Komba amshukuru sana Manji kwa kumuokoa kwenda jela na kupigwa mnada kwa mali zake. Sipati picha kama Komba angefungwa jela kile kitambi chake angekificha wapi. Lazima kingenywea kama puto lililotoboka. Hivi alidhani kuendesha shule ni sawa na kuimba kwaya na kusimamia bendi? Chezea mkopo wewe!
wangemla tu....
 
Yap that true tena usiombee akufunge coz Wenyewe wanaozijua sheria wanakwambia at the end of the day bill of cost zinaitwa nazani kama sijakosea unapaswa kuzilipa zote....so nia au kusudio la kukufunga ni kukutikisa hata kama unakahela kako ka ngama au kuna ndugu na jamaa wapo wenye uwezo wajichange waweze kukusaidia either kulipa deni but haimaanishi ukifungwa eti ukitoka deni nalo limeisha bali deni lipo palepale...coz mimi mwenyewe nilitaka kumtia ndani aunt yangu amenidhulumu hela yangu nyingi na process zote nikawa nimekamilisha mahakamani but wanandugu ikabidi waokoe jahazi sio kwa kumlipia deni but tulikaa na kulizungumza

kumbe..!so aunt yuko huru sasa?
 
thamani ya shule ni ndogo kuliko fedha anazodaiwa lakini Manji kamlipia deni lake lote (Tsh 1.2 bilion) halafu Komba atakuwa anamlipa kidogo kidogo kutokana na posho za ubunge na vikao.

Hapo kweli kamuokoa, lakini ukute tena akasahau misukosuko yote hata hiyo ndogo asiilipe kwa wakati kwa kuondekeza totozi mstuni!
 
CCM na wizi bwana, hata wakikopa kisheria hawarudishi bila shida kubwa, yaani komba alitaka akwapue pesa hiyo kijanja CRDB wamestuka, hongera Kemei.
 
CCM na wizi bwana, hata wakikopa kisheria hawarudishi bila shida kubwa, yaani komba alitaka akwapue pesa hiyo kijanja CRDB wamestuka, hongera Kemei.

alidhani CRDB ni benki ya CCM. Chezea Kimei wewe!

Nasikia jamaa kakomba zaidi ya milion 600 kutoka TACAIDS kwa kisingizio cha kutunga wimbo wa elimu dhidi ya ukimwi. Wimbo unaitwa MGENI KAINGIA NDANI. Bila shaka wengi mmeishawahi kusikia wimbo huu ukiimbwa na bendi ya CCM (T.O.T). Nchi hii inajengwa na wenye moyo (walalahoi) na kuliwa na wenye meno (CCM).
 
aiseeh...mna maneno !.......nimechekaje !
na yule akinya mshindo mmoja ni kilo nzima !

Hahaha! Mkuu nimechekaje....akiachia kitu mara 1 tu ni kama vile tembo kafanya mambo eti? Hahahaha! Usitake n'cheke mie!
 
Tatizo la TZ wezi wa mali ya umma ndo wabunge na mawaziri wetu, vita hii tutaipigana vipi??? lazima kujilipua ili kukomboa wengine
 
Na hilo neno "mdau" liondoe ikiwezekana. Do you know anything abt "civil prison"? If yes state abt it, and if not....

Civil Imprisoning is one of modes of enforcing execution of decree and it has never been a sentence.
 
Mmmm, kuna wakati niliwaza sana kukopa kwa ajili ya kujenga shule;
daaah sasa tutakimbilia wapi?
Na shule ukiijenga hadi ichanganye ili ulipe mkopo ndo yanakukuta ya nduguyetu mwenzetu komba.
 
Na endapo mahakama itathibitisha beyond reasonable doubt kwamba mdaiwa hawezi kulipa deni nini huwa kinafanyika?

Halafu skufikiri kwamba unadanganya ni mtizamo wako tu.

Asante.

Acha akili za kitoto.
Mikopo ya kibenki usiifananishe na mikopo ya sacos.

Hadi upewe mkopo lazma benki ijilidhishe kama una mali zenye thamani ya mkopo wao ili pindi utakaposhndwa kulipa upigwe mnada.
 
Jamani mimi sijaelewa vizuri hapa mnaposema Manji amemuokoa Komba ni katika misingi ipi?

Kama shule ndo hivyo imeshakwenda na Manji the same as ingekwenda na CRDB, au bei aliyopewa na Manji ni kubwa kuliko deni la CRDB hivyo anabaki na chenji? Hebu nielewesheni ameokoka vipi?

anaweza kutafuta pesa sehemu nyingine akazinunua tena kutoka kwa manji kama wana makubaliano, au akikosa ubunge atakuja kuajiriwa kama school administrator
 
anaweza kutafuta pesa sehemu nyingine akazinunua tena kutoka kwa manji kama wana makubaliano, au akikosa ubunge atakuja kuajiriwa kama school administrator

na wakati huo kitambi kitakuwa kimeishanywea na atakuwa ameisharudi kutoka msituni.
 
anaweza kutafuta pesa sehemu nyingine akazinunua tena kutoka kwa manji kama wana makubaliano, au akikosa ubunge atakuja kuajiriwa kama school administrator

huyu hawezi kuendesha shule. akikosa ubunge atarudi TOT kuimba kwaya.
 
Kuna mtu kaninong'oneza kuwa Sumaye ni board member wa CRDB na ndo alie kandamiza hii issue mpaka hapo ilipo kwakua Komba ni mtu wa lowassa. Kuna ukweli hapa wakuu?
 
anaweza kutafuta pesa sehemu nyingine akazinunua tena kutoka kwa manji kama wana makubaliano, au akikosa ubunge atakuja kuajiriwa kama school administrator

Kumbuka kitambi ni Mwalimu by professional. So anaweza kuajiriwa kama Mwalimu akitoka msituni..... Kuimba hawezi tena amekuwa kama puto lililotoboka kutokana na mkimbizano wa vibinti vidogo vidogo.
 
Back
Top Bottom