Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
Udhamini wa manji yanga unaleta maswal mengi sana. Na maswal yanakuja zaidi kwa kuwa wote wamekataa kufikiri wamemwachia manji na akilimali tu.
Manji yeye ni kila kitu. Kwa lolote analotaka linakuwa.akisema flan asiwe mwanachama ghafla mtu huyo anapoteza uanachama. Manji anapofika kwenye kikao anafika na kutangaza anachotaka akimaliza anaondoka wanachama wanapiga makofi na kumfata nyuma nyuma kama nzi wafuatavyo mtu aliyebeba utumbo.
Manji ni mwenyekiti,mdhamini,msemaji wa klabu,mweka hazina,mkodishaji na vyeo vyote. Unaweza taja kuwa mbona cheo flan yupo flan... Wale ni watu ambao wapo tu kama bendera kufuata upepo. Si kitu kabisa.
Ni manji huyu anayesema anaidai yanga nil 11 .za kutoka wapi?kwa makubaliano gani?
Lloyd Nchunga aliwah kuiongoza yanga kisomi sana miaka hiyo hata udhamini ulikuwa mdogo.akaipeleka brazil ikakaa mwez huko. Na alipoondoka yanga aliacha mil 400.
Manji anaidai yanga bil 11 nani anajua zimetumikaje? Hakuna aliye na uwezo wa kuhoji zaid ya mzee akilimali katika suala la kukodisha timu kwake.tunaweza kuwa maskin wa kipato chonde chonde tusiwe maskini wa akili.