Manji anaidai Yanga Bil 11. Nchunga alipiga Kambi Brazil na Yanga mwez na akaondoka ameacha Mil 400

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Udhamini wa manji yanga unaleta maswal mengi sana. Na maswal yanakuja zaidi kwa kuwa wote wamekataa kufikiri wamemwachia manji na akilimali tu.

Manji yeye ni kila kitu. Kwa lolote analotaka linakuwa.akisema flan asiwe mwanachama ghafla mtu huyo anapoteza uanachama. Manji anapofika kwenye kikao anafika na kutangaza anachotaka akimaliza anaondoka wanachama wanapiga makofi na kumfata nyuma nyuma kama nzi wafuatavyo mtu aliyebeba utumbo.

Manji ni mwenyekiti,mdhamini,msemaji wa klabu,mweka hazina,mkodishaji na vyeo vyote. Unaweza taja kuwa mbona cheo flan yupo flan... Wale ni watu ambao wapo tu kama bendera kufuata upepo. Si kitu kabisa.

Ni manji huyu anayesema anaidai yanga nil 11 .za kutoka wapi?kwa makubaliano gani?

Lloyd Nchunga aliwah kuiongoza yanga kisomi sana miaka hiyo hata udhamini ulikuwa mdogo.akaipeleka brazil ikakaa mwez huko. Na alipoondoka yanga aliacha mil 400.

Manji anaidai yanga bil 11 nani anajua zimetumikaje? Hakuna aliye na uwezo wa kuhoji zaid ya mzee akilimali katika suala la kukodisha timu kwake.tunaweza kuwa maskin wa kipato chonde chonde tusiwe maskini wa akili.
 
yaani katika vijitu viongo duniani ni wewe unastahili hata uchomwe mdomo
 
Mkuu,,mwache Manji atawale....Nchunga & Mosha tim iliwashinda wakaja fukuzwa na bao 5 za Simba...
Hivyo achukue tim kabisa...
 
Hayo mengine hayanihusu. Lakini kuna hili. Maghorofa ya Hostel mpya zinazojengwa pale UDSM along Sam Nujoma Rd zitabeba wanafunzi takribani 4000 na zitacost 10 b Tshs tu. Kama Mdosi angetumia pesa hizi na kutuachia hostel ya kubeba hata watu 1000 tu, ingekuwa investment 1 ya nguvu sana.
 
Sema uongo wangu nini. Usiwe kama nzi kufuata utumbo. We unaona raha kujiita wa kimataifa sabab ya kupanda ndege kama vile yanga haikuwah kupanda ndege. Ni kuidhalilisha yanga kuona jambo la maana ni kupanda ndege tu. Nambie mafanikio ya manji ambayo yanga haikuwah kuyapata?

yaani katika vijitu viongo duniani ni wewe unastahili hata uchomwe mdomo
 
Hayo mengine hayanihusu. Lakini kuna hili. Maghorofa ya Hostel mpya zinazojengwa pale UDSM along Sam Nujoma Rd zitabeba wanafunzi takribani 4000 na zitacost 10 b Tshs tu. Kama Mdosi angetumia pesa hizi na kutuachia hostel ya kubeba hata watu 1000 tu, ingekuwa investment 1 ya nguvu sana.

Akuwekee investment ili timu ikianza kujiendesha yenyewe mumfukuze? Timu ingekua inaweza kusimama yenyewe sasa hivi wanachama wengi wangekua upande mzee akilimali. Usione wanachama sasa hivi wanataka akodishwe timu ukadhani wana imani na yeye, hawana imani nae kabisa ila walio wengi hawana jinsi wanajua kua akiondoka hata mishahara ya wachezaji itakua shida kupatikana. Wale wote wanaopiga kelele linapokuja suala la kutoa fungu la kuendesha timu midomo inakua na ukakasi na ndipo alipowapatia.
 
Nchunga na mosha walifanyiwa hujuma. Tunafaham kwa watu walio ndani ya team wanafaham na mbaya ni huyu huyu manji kwa kuwarubuni wanachama wa yanga wafanye fujo n.k anyway mimi si mshabiki wa hao jamaa.lakini tukae kama wasomi tuangalie namna gani ambayo itakuwa nzuri kwa manji kuwekeza yanga kwa hali ambayo ni win win sitiation ama sivyo huyu jamaa atakuja kutuacha vibaya siku akiondoka na YANGA YETU NA KUWAACHIA YANGA S.C

Mkuu,,mwache Manji atawale....Nchunga & Mosha tim iliwashinda wakaja fukuzwa na bao 5 za Simba...
Hivyo achukue tim kabisa...
 
Na manji ni mjanja. anatengeneza hali ya timu imtegemee yeye. Miaka yote anataka yeye ndo awe kama mungu wa yanga pale ndani. Hii inawafanya wanayanga waone bila yeye mambo hayawez enda. Hatak kuisimamisha timu ijitegemee. Na ndo maana hatak kuwekeza uwekezaji wa maana.

Hatak kuwafundisha yanga kuvua samak. Anataka aendelee kuwapa samaki siku zote.

QUOTE="Morinyo, post: 18245927, member: 52745"]Akuwekee investment ili timu ikianza kujiendesha yenyewe mumfukuze? Timu ingekua inaweza kusimama yenyewe sasa hivi wanachama wengi wangekua upande mzee akilimali. Usione wanachama sasa hivi wanataka akodishwe timu ukadhani wana imani na yeye, hawana imani nae kabisa ila walio wengi hawana jinsi wanajua kua akiondoka hata mishahara ya wachezaji itakua shida kupatikana. Wale wote wanaopiga kelele linapokuja suala la kutoa fungu la kuendesha timu midomo inakua na ukakasi na ndipo alipowapatia.[/QUOTE]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Udhamini wa manji yanga unaleta maswal mengi sana. Na maswal yanakuja zaidi kwa kuwa wote wamekataa kufikiri wamemwachia manji na akilimali tu.

Manji yeye ni kila kitu. Kwa lolote analotaka linakuwa.akisema flan asiwe mwanachama ghafla mtu huyo anapoteza uanachama. Manji anapofika kwenye kikao anafika na kutangaza anachotaka akimaliza anaondoka wanachama wanapiga makofi na kumfata nyuma nyuma kama nzi wafuatavyo mtu aliyebeba utumbo.

Manji ni mwenyekiti,mdhamini,msemaji wa klabu,mweka hazina,mkodishaji na vyeo vyote. Unaweza taja kuwa mbona cheo flan yupo flan... Wale ni watu ambao wapo tu kama bendera kufuata upepo. Si kitu kabisa.

Ni manji huyu anayesema anaidai yanga nil 11 .za kutoka wapi?kwa makubaliano gani?

Lloyd Nchunga aliwah kuiongoza yanga kisomi sana miaka hiyo hata udhamini ulikuwa mdogo.akaipeleka brazil ikakaa mwez huko. Na alipoondoka yanga aliacha mil 400.

Manji anaidai yanga bil 11 nani anajua zimetumikaje? Hakuna aliye na uwezo wa kuhoji zaid ya mzee akilimali katika suala la kukodisha timu kwake.tunaweza kuwa maskin wa kipato chonde chonde tusiwe maskini wa akili.
kumbe Nchunga alikuwa na mazuri yake? Maana tulimtoa kwa kumfukuza kama kuku leo hii ndo tunamkumbuka.....kweli mshahala wa zambi ni mauti. Afu hakuna watu wanafik pale yanga kama wale wazee akina mzee Akilimali, wanatumika kama toilet paper cz ni hao hao walituaminisha Nchunga ndio adui wa yanga wakatuletea Manji na leo wanakuja na habar zao zingine. Ifike pahala ss hawa wazee na matapel wengine wakae pembeni na timu iendeshwe kwa mufumu ya kueleweka na sio mwendo huu wa vigelegele na midundiko......
 
Nchunga na mosha walifanyiwa hujuma. Tunafaham kwa watu walio ndani ya team wanafaham na mbaya ni huyu huyu manji kwa kuwarubuni wanachama wa yanga wafanye fujo n.k anyway mimi si mshabiki wa hao jamaa.lakini tukae kama wasomi tuangalie namna gani ambayo itakuwa nzuri kwa manji kuwekeza yanga kwa hali ambayo ni win win sitiation ama sivyo huyu jamaa atakuja kutuacha vibaya siku akiondoka na YANGA YETU NA KUWAACHIA YANGA S.C
Mkuu uko sahihi,, sema ni matajiri wachache wenye urafiki wa kweli na maskini...wapo kimaslahi....
Yanga wakimnyima tim Manji ni matajiri wangapi km yeye watakaojitokeza kuokoa jahazi bila faida?
 
Mimi sikatai Yanga kumpa team manji. Lakini napenda wampe kwa hal ambayo ni win win yabga wapate na manji apate. Ukweli ni kuwa hamna hasara anayopata manji pale.sema watu hawajui anafaidika vipi na yanga. Wengi hawajui. Angekuwa hai abbas gulamali angekwambia faifa aliyokuwa anaipata kwa kuifadhili yanga. But ni marehem. Yanga kwa sasa ni kuwa wanamsikiliza na kufanya kila anachotaka mwenyekiti manji.amewashika sana hawakohoi hawapumui. Anawadia Bil 11 za wapi?

Wahindi Wanajulikana Wazi Kuwa Ndiyo Wajanja Wa Kuchezesha Kamari! Sasa Manji Pale Yanga Mkeka Wake Siku Zote Unatik wakati Wanachama Wa Yanga Wao Wanaendelea Kuchana Mikeka Yao tu!!!!
Bilioni 11???
Sasa Hiyo Miaka 10 ya Kukodi ikimalizika ataidai Yanga Bilioni ngapi? 300, 400, 500???
 
Mimi sikatai Yanga kumpa team manji. Lakini napenda wampe kwa hal ambayo ni win win yabga wapate na manji apate. Ukweli ni kuwa hamna hasara anayopata manji pale.sema watu hawajui anafaidika vipi na yanga. Wengi hawajui. Angekuwa hai abbas gulamali angekwambia faifa aliyokuwa anaipata kwa kuifadhili yanga. But ni marehem. Yanga kwa sasa ni kuwa wanamsikiliza na kufanya kila anachotaka mwenyekiti manji.amewashika sana hawakohoi hawapumui. Anawadia Bil 11 za wapi?
Jamaa ashajimilikisha tim .....wanayanga hawana jinsi....
Nadhani kwenye maelezo huwa anaandika ameikopesha timu afu akija mkutanoni anasema anasaidia...na hiyo unaweza ukute ni tangu 2006 mpaka sasa...
 
Udhamini wa manji yanga unaleta maswal mengi sana. Na maswal yanakuja zaidi kwa kuwa wote wamekataa kufikiri wamemwachia manji na akilimali tu.

Manji yeye ni kila kitu. Kwa lolote analotaka linakuwa.akisema flan asiwe mwanachama ghafla mtu huyo anapoteza uanachama. Manji anapofika kwenye kikao anafika na kutangaza anachotaka akimaliza anaondoka wanachama wanapiga makofi na kumfata nyuma nyuma kama nzi wafuatavyo mtu aliyebeba utumbo.

Manji ni mwenyekiti,mdhamini,msemaji wa klabu,mweka hazina,mkodishaji na vyeo vyote. Unaweza taja kuwa mbona cheo flan yupo flan... Wale ni watu ambao wapo tu kama bendera kufuata upepo. Si kitu kabisa.

Ni manji huyu anayesema anaidai yanga nil 11 .za kutoka wapi?kwa makubaliano gani?

Lloyd Nchunga aliwah kuiongoza yanga kisomi sana miaka hiyo hata udhamini ulikuwa mdogo.akaipeleka brazil ikakaa mwez huko. Na alipoondoka yanga aliacha mil 400.

Manji anaidai yanga bil 11 nani anajua zimetumikaje? Hakuna aliye na uwezo wa kuhoji zaid ya mzee akilimali katika suala la kukodisha timu kwake.tunaweza kuwa maskin wa kipato chonde chonde tusiwe maskini wa akili.
Mkuu, hawa kandambili mwenye akiri ni mzee akilimali tu, others ni misukule ya manji
 
nami nimemwomba anambie nlichodanganya hajarudi mpaka muda huu. ametokomea huko mbali.

1.Nchunga aliipeleka timu Brazil ?
2.Unajua kwa nini Nchunga aliondoka Yanga ?

3.Kwa nini hamuendi kwenye vikao vya klabu kutetea hayo mnayoongea mtandaoni ?

4.Kwa nini huwa hamuulizi ripoti ya matumizi na mapato kwenye vikao vya klabu ?
 
Wewe unampigia Mbuzi Gita!!!
Badala Ya Kuja Na Hoja, Unakuja na Maswali!!! Haya Tuone Kama unatetea au unakosoa.......!
Hayo Maswali Yako Yote uliyotohoa ni sawa na Value of X unknown....
 
Back
Top Bottom